Kusimama kwenye daladala! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kusimama kwenye daladala!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Papa Mopao, Jun 13, 2011.

 1. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #1
  Jun 13, 2011
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,353
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Kuna siku nilipanda daladala toka Tegeta mpaka Ubungo na bahati mbaya sikupata bahati ya kupata siti,nikatafuta daladala ya kwenda mbagala nako nilisimama hadi Buguruni, asubuhi hiyo! Baada ya mishemishe pale Buguruni,nikachukua gari hadi Mbagala nilisimama,baadae nikachukua daladala kuelekea Mnazi mmoja nako nilisimama vilevile aloo miguu iliniuma vibaya mno yaani, baada ya mishemishe hapo mjini,nikachukua daladala ya Mwenge toka pale Mnazi mmoja nilisimama hadi Mwenge na nikaunganisha na za Tegeta kwa kusimama tena, hahhahaha! Balaa hakuna kitu kibaya kama kusimama kwenye daladala bila hata ya kupata siti njia nzima na nilipata siti tu toka pale Tegeta mpaka pale Tegeta Kibaoni kwa siku hiyo. Noomaaa!! Sitasahauu!!!
   
 2. Don Alaba

  Don Alaba Senior Member

  #2
  Jun 14, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 158
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hiyo story ikaendelea kwangu, nikashuka Tegeta Kibaoni kununua umeme naponikakuta foleni ndefu ikabidi nisimame kwa mda mrefu kabla ya kupata huduma nikagundua hela haitoshi nikaenda kwenye ATM napo nikakuta foleni nikasimama tena, nikarudi kwenye LUKU nikaanza foleni upya ikabidi nikasimama

   
 3. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #3
  Jun 14, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,686
  Likes Received: 8,221
  Trophy Points: 280
  Wai..mi nshazoea kusimama (yani kama kukatiwa umeme)...siku nikipata daladala nikakaa ndo nashangaa..!

  Hivi seriously, hakuna sehemu karibu na posta ninaweza kupanda magari ya mbagala bila kugombania/kusimama?
   
 4. D

  Domo Zege JF-Expert Member

  #4
  Jun 14, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Kusimama noma, siku moja nimepanda gari ya gongo la mboto toka posta nimesimama mblele yangu kuna mdada mzuri nae kasimama ****** yake ameyaelekeza katika nyeti zangu.Wacha anitingishie gali ikijigonga kwenye mashimo ananitingishia kwa fujooo.Kilichotokea baada ya hapo siri yangu
   
 5. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #5
  Jun 14, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,982
  Likes Received: 729
  Trophy Points: 280
  Acha huyo pepo mbaya.
   
 6. M

  MAMENGAZI JF-Expert Member

  #6
  Jun 14, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 781
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  halafu usimame na foleni za jiji hili utajuta.
   
 7. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #7
  Jun 14, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Ujanja ni kuivizia inayotoka Mbagala kwenda posta kituo cha mwisho kabla ya posta...hapo wakati wenzio wanagombania pale posta we unawashangaa tu!
   
 8. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #8
  Jun 14, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  OOohhh NO TANESCO wameisha kata umeme.....
   
 9. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #9
  Jun 14, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,284
  Likes Received: 19,437
  Trophy Points: 280
  hii stori nilijua inahusu madungadunga :):):):):pole sana kijana kwa kusimama kwenye daldala. hakuna tofauti na kutembelea ****** then ukakaa kwenye foleni kwa zaidi ya masaa 3 , na usiombe ukajikuta AC hamna utakoma
   
 10. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #10
  Jun 14, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Nini kusimama, watu wanagombea ili wakasimame... fika pale post mpya saa za jioni uangalie magari ya Mbagala au pale Ubungo uone valangati la magari ta Tegeta... watanzania tumeshazoea vitu hivi, tunaona kawaida na siku zinakwenda
   
 11. T

  Tall JF-Expert Member

  #11
  Jun 14, 2011
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  nilishawahi kusimama kwenye treni toka dar hadi kigoma.
   
 12. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #12
  Jun 14, 2011
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,353
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Duh pole ndugu yangu, lkn uliposimama wewe ni palepale Tegeta kibaoni, mimi hiyo ni safari ya siku kwenye foleni maeneo tofauti ya Dar!!
   
 13. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #13
  Jun 14, 2011
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,353
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Hapo inategemea unapandia wapi na route gani, kwa mfano ukiwa pale posta kuna madaladala yanayoenda Kivukoni hapo unaweza ukapata siti bila kugombania na ukaendelea na safari kwenda kwingineko,kasheshe ya hiyo route unalipia nauli mara mbili na pia unazunguka tena ambayo ni kupoteza muda pale Kivukoni!!
   
 14. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #14
  Jun 14, 2011
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,353
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Hahahahaa! Siku ukibanwa na haja pana ndugu yangu staili ya kusimama huwa inabadilika hahahahaa! Hakuna kitu kibaya pembeni kuna mijimama amejaa alaf unasukumwa na unatumia mguu mmoja mwingine umekaa vibaya,hapo ukitoka kwenye daladala mguu unakuwa hauna nguvu ya kustahimili!!!
   
 15. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #15
  Jun 14, 2011
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,353
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Wa Mbagala ndo walikuwa wa kwanza kabisa kugombania kwenye daladala jiji hili la Dar!
   
 16. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #16
  Jun 14, 2011
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,353
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Wa Mbagala ndo walikuwa wa kwanza kabisa kugombania kwenye daladala jiji hili la Dar!
   
 17. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #17
  Jun 14, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  dah! pole sana. ilikuwa jumatatu?
   
 18. M

  MAKAH JF-Expert Member

  #18
  Jun 14, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 1,598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Iliyokutokea sio kwako tu. Hata hivyo kuna watu hawapandi daladala hadi aone limejaa ili asimame na awe karibu na kidosho - atasikia raaaahaaaaa!!
   
 19. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #19
  Jun 15, 2011
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,353
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Yah ilikuwa Jumatatu, balaa!!
   
 20. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #20
  Jun 15, 2011
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,353
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Wapo watu wa aina hiyo,nshawashuhudia!
   
Loading...