Kisa cha Madenge. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kisa cha Madenge.

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Pazi, Jun 15, 2011.

 1. P

  Pazi JF-Expert Member

  #1
  Jun 15, 2011
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 2,918
  Likes Received: 623
  Trophy Points: 280
  Hizi Ndio kumbukumbu zangu za visa za Madenge sijui na wenzangu mnakumbuka zipi?

  1. Madenge Darasani kwao alikuja mwalimu mpya wa kike. Akauliza swali 2+2= ? Madenge kama kawaida yake akanyoosha mkono Mwalimu akamchagua Madenge basi Madenge akajibu Mwalimu hiyo Rahisi ni 5(TANO) aliisema kwa nguvu zote... Mwalimu akamwambia Madenge umekosa ni 4 basi Madenge akajitetea Mwalimu mie nilikuwa nakujaribu tu kuona wewe Kweli Mwalimu au umekuja kututania sasa ndio nimekubali wewe mwalimu mie najuwa kama ni 4 endelea kufundisha kumbe unafaa...

  2. Madenge katoroka shule kamuaga Mwalimu amefiwa na Mjomba wake. Mwalimu baadae ikabidi aende kwa kina Madenge akamkuta Baba yake Madenge ameketi anasikiliza Radio mbao pembeni Betri za National zengine zipo juwani...LOl! yule Mwalimu kufika Baba madenge poleni Yule Baba kwamshangao na kitu Gani? Mwalimu- Madenge kaaga amefiwa na Mjomba wake hajamaliza Madenge katokea

  Baba Madenge- we Kenge Mjomba yako yupi huyo amefariki?

  Madenge- Baba kwani hujui Ankal Maiko Jaksoni amefariki .... Baba yake akamtowa nduki..


  3. Ya tatu na ya mwisho kwangu ni hii.

  Madenge alikuwa na mchezo wa kukojoa kitandani sasa Kurudi Baba yake kwa hasira kamtowa mbio wewe kila siku unakojoa kitandani sasa katika zile mbio Madenge anakimbia huku anasema haya tuone Kikojozi wa sasa na wazamani anani anambio sana? tehteh.
   
 2. fundiaminy

  fundiaminy JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2011
  Joined: Jun 4, 2009
  Messages: 358
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  1.madenge babake aliitwa kazibure.basi wakati kazibure anaskiliza redio kabla mechi ya taifa staz na harambee staz aliskia mtangazaji akisema "na sasa 2nawapeleka moja kwa moja hadi kasarani stadium kwa mechi baina ya taifa staz na harambee starz"..kazibure akapanda juu ya redio na kusema "twendeee!"

  jirani kampata kazibure ananyunyiza maji mimea wakati kunanyesha.akauliza.kwanin unanyunyizia mimea maji na kunanyesha.akamjibu na nyie kwa nini mnawasha moto wakati jua linawaka??
   
Loading...