trachomatis
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 3,758
- 746
Jamani wale Aza Boys wenzangu nashauri tuunde Alumni yetu. Ingawa miaka ya karibuni imekuwa na mchanganyiko hata hivyo ali mradi mtu amepita katika majengo yale tuwe na umoja wetu hata humuhumu ndani ya JF.