Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,263
- 685
Leo katika hali ambayo sikutegemea nimetoka kazini mbio mbio kuja kuangalia taarifa ya habari nikuwa na hamu ya kuangalia na kusikiliza kambi ya upinzani wakitoa bajeti yao mbadala, lakini sikuona kilichotokea HEADING YA ITV ilikuwa bajeti mbadal ya upinzani cha hajabu zitto kupewa sekunde 8 na kipengele alichoongea ni posho tu
Yaan ITV wameona cha maana kilichoongelewa na zito ni posho tu??? kwanini zitto anapewe second 8?? wakati taarifa nzima wengine wanapewa more than 2-3 minutes unaelewa na content za habari lakini bila ya kusoma JF huwezi kujua zitto kaongea nini . ITV huu sio usawa kukandamiza wapinzani na kukumbatia magamba na kuuwa democracia, kwanini mkullo alipewa more than 8seco????? kwanini ITV mnadhalau wapinzania??? je yaliyoongelewa leo hayana umuhimu?