Kwa wana jf waliowahi kula ban

Kwa wana jf waliowahi kula ban

Manyanza

Platinum Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
20,009
Reaction score
45,723
Hello wana Jf
Nilikuwa naomba kushare na nyinyi hisia zenu, hasa kwa wana JF ambao wameshawahi kufungiwa(BAN) humu jamvini :-
nina mambo machache nataka kujua kutoka kwenu
1. ulikuwa unajiskiaje ulipokua ukiiingia kama guest user wakati ni member
2. ulikuwa unajisikiaje unapokua na kitu, jambo, taarifa muhimu unataka kuiibandika lakini unajikuta upo kifungoni?
3. ulikuwa unajisikiaje unapoona Member mwingine anakuchokoza kwa makusudi na unatamni kujibu lakini unajikuta upo jera?
4. ulikuwa unajisikiaje pale ambapo member wenzako walipokuwa wanaku miss na kufikia hata hatua ya kukuombea ufutiwe adhabu na Mods?

Asanteni natumaini kusikia hisia zenu, hata kwa wale ambao hawajawahi kupewa BAN watajisikiaje siku ambayo watapewa BAN?
 
1.Nilikuwa najisikia sawa tu kuingia kama guest kwa kuwa nilishajua nina BAN
2.Nilikuwa natamani nijibu lakini ndo siwezi kutokana na BAN
3.Nilikuwa najisikia kumjibu lakini ndo niko jela
4.Pale member waliponi miss nilijiona nina thamani na JF ni kama familia yangu ya online......nilijisikia vizuri na pia vibaya kuwa wananimiss
 
Ningeweza kutoa hisia zangu sawasawa kama kweli ningekuwa nimewahi kufungiwa mlango. Ila naweza kuvuta hisia kwamba when you see almost all pipo are shouting to MODS to release you, especially when you see these pipo were loving you bcoz you cared them, you shoed them respect, you answered threads in a well-mannered way and so, unaweza ukajikuta unaangusha chozi.
Acha kabisa mkuu, usiombe ukasikia kilio cha watu wanaokupenda. Ni bora usithubutu kuingia kabisa hata kwa ID nyingine wala kama guest

Ila kama hayo hayatatokea unaweza usione tofauti.
 
Nina ID mingi kwa hiyo hakuna ninachomiss!
 
Who cares?Ingia na ID nyingine![/QUOT

Hahaa Lizzy Imagine kama wewe umelijiunga tangu 2009 halafu ule BAN la miezi 6 utakuja na ID nyingine?
 
you go and visit other houses that welcomes you with both hands.......you tell them why they locked you out of their house.....NILIWAHI KULA BAN KWA KUSEMA .....HALI HALISI NI KUBENEA......SO NIKAPITA INTO OTHER HOUSE ...THEY WELCOMED ME AND ENJOYED A LOT THE LIFE OUT THERE...!
 
you go and visit other houses that welcomes you with both hands.......you tell them why they locked you out of their house.....niliwahi kula ban kwa kusema .....hali halisi ni kubenea......[/b]so nikapita into other house ...they welcomed me and enjoyed a lot the life out there...!

sijakuelewa hapa mkuu
 
Wengine mahudhurio/uchangiaji wetu hapa JF ni Hafifu, ila nadhani ban ya wiki moja au mbili haiwezi kuwa tatizo kwangu, zaidi ya hapo nitajisikia hovyo
 
sijakuelewa hapa mkuu[/color][/size]

UNATEMBELEA FORUMS NYINGINE NA WANAKUKARIBISHA NA KUHESHIMU MICHANGO YAKO......HATA UNAPOTOA HOJA KINYUME NA MITAZAMO YAO...(kwa JF ni KUTOA HOJA kinyume na CHADEMA) HUJIBU KWA HOJA ZILIZOJAA USHAWISHI WA HALI JUU NA UPANA....!
WAKIJIITA GREAT THINKERS NITAWAELEWA
 
Kwa waliopewa sijui lakini mimi niliomba sijui radha yake maana nilikuwa sikanyagi kabisa huku so nilikuja kuona tu nimeanzishiwa thread tatu mara moja siku hiyo hiyo so kawaida sana sijui kwa wale waliokuwa wanaingia kama guest.
 
UNATEMBELEA FORUMS NYINGINE NA WANAKUKARIBISHA NA KUHESHIMU MICHANGO YAKO......HATA UNAPOTOA HOJA KINYUME NA MITAZAMO YAO...(kwa JF ni KUTOA HOJA kinyume na CHADEMA) HUJIBU KWA HOJA ZILIZOJAA USHAWISHI WA HALI JUU NA UPANA....!
WAKIJIITA GREAT THINKERS NITAWAELEWA

lakini mkuu ni vigumu sana kuzoeleka utakapoenda na najua itakuwa inakuuma sana ukizingatia wewe upo humu tangu january 2008
 
Watu hawaumii kwani wana id kibao humu. Wanasumbua mods tu
 
Hello wana Jf
Nilikuwa naomba kushare na nyinyi hisia zenu, hasa kwa wana JF ambao wameshawahi kufungiwa(BAN) humu jamvini :-
nina mambo machache nataka kujua kutoka kwenu
1. ulikuwa unajiskiaje ulipokua ukiiingia kama guest user wakati ni member
2. ulikuwa unajisikiaje unapokua na kitu, jambo, taarifa muhimu unataka kuiibandika lakini unajikuta upo kifungoni?
3. ulikuwa unajisikiaje unapoona Member mwingine anakuchokoza kwa makusudi na unatamni kujibu lakini unajikuta upo jera?
4. ulikuwa unajisikiaje pale ambapo member wenzako walipokuwa wanaku miss na kufikia hata hatua ya kukuombea ufutiwe adhabu na Mods?

Asanteni natumaini kusikia hisia zenu, hata kwa wale ambao hawajawahi kupewa BAN watajisikiaje siku ambayo watapewa BAN?
Mimi sikuweza kuvumilia ingawa kifungo changu kilikuwa kifupi...
 
Sijui nitafanyaje maana JF ni kama nyumbani kwangu kwa pili wakati mwingine nahisi kama kila mtu namjua naweka picha zangu kwa kila mmoja kwa kuimagine kwa kweli nitakata rufaa ila nitaingia kama guest nione kinachoendelea
 
Back
Top Bottom