Typewritter

mwl

JF-Expert Member
May 25, 2011
1,101
913
Jamaa na mkewe walikuwa wakivunga watoto pindi wanapotaka kula uroda, jamaa humuita mkewe:" mama nanihii niletee typewritter yangu", basi mama anaenda na mambo yanaendelea. Siku moja jamaa karudi mbio akamwambia mkewe amletee typewritter yake, yule mama kutokana na kazi kidogo alichelewa, kufika chumbani akamkuta jamaa kalala, akamuuliza vipi? akamjibu "leo basi nimeandika kwa mkono".
 
Ooops!! Punyeto nini!!
 
Jamani, haraka ya jamaa ya kuandika kwa mkono inaweza kumponza kwani mkewe akishatambua kuwa kumbe sio lazima kuandika kwa typewriter, atakuwa anajichelewesha kila mara ili jamaa aandike kwa mkono.
 
hahahah....dah hii kali..jamaa aliona anachelewa anakaamua kumaliza juu kwa juu
 
Back
Top Bottom