Inawezekani ni steven wassira!

Inawezekani ni steven wassira!

suleym

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,961
Reaction score
1,211
Kuna waziri mmoja katika serikali za awamu zilizopita alikuwa waziri wa maji, alikuwa hataki kupigwa picha hii ni kutokana na sura yake kuwa mbaya yan hata sura yake mwenyewe hakupenda kuiona. sasa akawa amealikwa kwenda kuzindua visima vya maji baada ya kuvizindua akaamua kuchungulia kunako mojawapo wa visima alivyozindua baada yakuchungulia kwenye kisima akashangaa alichokiona, hapo hapo akamgeukia mwenyeji wake akamuuliza mara hii mmeingiza viboko kwenye hiki kisima!
 
hiyo kali , maana alivyo nasura mbaya vile, atakuwa alijikimbia !
 
Hii sio Jokes wala Gossip, ni matusi tu ya kipuuzi sidhani kama binanadamu wote wamekamilika
 
Hahaaaaaaaaaaa! Hadi nimemshtua mwenzangu usingizini!
Wassira aliona sura yake ninini!? Da, I like this wanu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom