Ni mwalimu babu na mjukuu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni mwalimu babu na mjukuu.

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Adam waTZ, Jun 15, 2011.

 1. A

  Adam waTZ Member

  #1
  Jun 15, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ilikuwa ni noma mbaka huruma baada ya dogo mmoja kumuaga mwalimu wake ili arudi nyumbani kwa kisingizio kuwa babu yake amefariki baadaye mwalimu anaenda msibani eti babu anamwambia mjukuu jifiche wewe si umetoroka? Mwalimu wako anakuja, dogo anajibu babu jifiche wewe nimemuaga umekufa daah babu alinyog'onyea hadi chini!!.
   
 2. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  hahaaaa! huyo babu labda ni madenge manake toka kipindi chake kwa sasa atakua ameshazeeka.
   
Loading...