Kikwete & Only Solution to Save Presidence and Nation! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete & Only Solution to Save Presidence and Nation!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Pasco_jr_ngumi, Jun 15, 2011.

 1. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #1
  Jun 15, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Inauma unapoona heshma inakutoka....
  Tena inapofikia hadi mtoto mdogo anakucheka, hapo inauma zaidi...


  Haya matatzo yote ya nchi niipendayo yana dawa! Dawa ni lazma iwe chungu kupta shubiri ili mtanzania apone..... Hakuna k2 kischowezekana, never say never!

  Ningependa rais wangu anageuka shujaa, kwa nini isiwezekane? Mbona wako marais wanaoheshmika kwa kufanya MAGEUZ wakiwa madarakani... Vladmir Putin had leo wa-Rusia wanamtaka awatawale.... Bingu wa Mutharika anaheshmka sana Malawi...

  Ningekuomba Kikwete ujitoe katika hcho chama {CCM} na ukifute kabisa na uanzishe chama kipya.....

  Nachukia na kulaani KUJIVUA GAMBA, ctak kucikia huo upupu! Halafu sekretariet ya CCM mmeharibu kabsa... Nape na J.Makamba hamna k2, they ar scrap, mbumbumbu...

  Piteni vyuo vikuu humu, wako vijana wakali na hatar wanahtimu, GPA KUBWA NA VERY MUCH REASONING! Hao mliowapa vyeo hapo hstoria zao znaonyesha hawana k2... Tutawacheka mpaka basi!

  Hebu ona CDM, JESH LA WATU WACHACHE, wote majenerali! Kila mmoja ana IQ ya kutsha... Nape anaweza na kubshana na diwan wa CHADEMA AKASHNDWA!

  Nawasilisha...
   
Loading...