Unazijua methali hizi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unazijua methali hizi?

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by The Pen, Jun 15, 2011.

 1. The Pen

  The Pen JF-Expert Member

  #1
  Jun 15, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 764
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Km huzijui, hapa ndio pa kujifunza. Angalia mwenzako Khanji Bhai alivyojibu kwa ufasaha:

  (1) Mfa maji?… tampa life jacket.

  (2) Mwenda pole?…tachelewa fika.

  (3) Usipoziba ufa ?…mizi taona mpaka dani.

  (4) Usilolijua?…uliza google.com.

  (5) Mbio za utelezini?…chafua guo yako.

  (6) Ukipenda boga?…ngoja mezi ya ramzani tapata.

  (7) Ukiona vinaelea?…iko nyepesi hiyo.

  (8) Maji yakimwagika?…mambie dada ta-deki.

  (9) Chelewa chelewa?…takosa guo ya sukukuu…..

  (10) Kila ndege .....?
  Hutua Airport

  (11) Bandu bandu ....?bandu bandu nini, bandua iyo bana....


  (12) Mtaka cha Mvunguni ....? Binua tanda

  13) Simba mwenda kimya .....? Iko gonjwa kama sio gonjwa iko fungwa na Yanga

  (14) Aisifuye mvua ....? Mkulima

  (15) Barabara ndefu ....? Ongeza mwendo, tachelewa fika

  (16) Mlanawe hafi nawe ila .....? Takimbia

  (17) Asie sikia la mkuu ....? Tapeka jela

  (18) Hasira za mkizi ....? Tatafuna veve

  (19) Ujanja mwingi....? Hapana mpa kazi taibia yeye


  (20) Akumurikae mchana ....? Kipofu

  (21) Mficha maradhi ....?Taenda Loliondo

  (22) Mkataa wingi ....? Taenda Chadema

  (23) Bendera ....? Kama sio ya CCM, ya CUF

  (24) Baniani mbaya ....? Sio kweli, naonea tu yeye


  25) Akili nyingi ….? Tapasi mtihani
   
 2. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  hahahahaha. Nimezipenda sana, hasa namba 13
   
 3. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #3
  Jun 15, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Mkuu!!!!!!! Kweli uko nimezipenda karibu zote. Jitahidi angalau unaweza kutoa kakitabu chako cha MZENGWE!!!!!!!!!!!!!
   
 4. Kamkuki

  Kamkuki JF-Expert Member

  #4
  Jun 15, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 1,067
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 145
  teh teh teeeh mchokozi utamuona tu, tena ngoja ni...............................!
   
 5. The Pen

  The Pen JF-Expert Member

  #5
  Jun 15, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 764
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mmh! Subiri, watakuja muda si mrefu.
   
 6. Delucaz

  Delucaz Member

  #6
  Jun 15, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  dah kama majibu yenyewe ndio hayo ningekula 0% ya maana tu.
   
 7. b

  braya Member

  #7
  Jun 16, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  dah! hiyo ya 13 yaukweli rafiki nimeipenda
   
Loading...