Moon!

Moon!

nimeiona mkuu,huku haionekani kabisa
 
umeona vizuri afu umedumu kwa muda mrefu sana almost inakaribia saa moja na nusu
 
Embu nitumie picha...huku UngaLTD moshi wa bangi umeziba anga!!
Mh we Liiz inamaana unaogopa tu walau kutoka nje uka check!mwambie huyo wa pemben yako akusindikize
 
Embu nitumie picha...huku UngaLTD moshi wa bangi umeziba anga!!

aahh nimepata kwenye newspaper
hii hapa ( rahaa zaidi kuona Live)
[h=1]Lunar eclipse[/h]


The brilliance of a blood red moon during a full lunar eclipse was seen last night.

The eclipse, where the moon turned red as its obscured by the Earth's shadow, began at about 8.50pm. By about 11.25pm the moon had resumed its full brightness.



 
Mh we Liiz inamaana unaogopa tu walau kutoka nje uka check!mwambie huyo wa pemben yako akusindikize
Sio naogopa ila huku kwetu watu wanavuta bangi mpaka moshi umegeuka mawingu...
 
Halafu mijitu ya siku hizi inaboa sana, zamani tukio kama hili likitokea tunatoka nje tunapiga makopo wee hadi jua linauachia mwezi lakini huu utandawazimu umevuruga mila zetu.
 
L-Eclipse.JPG

Picha hiyo hapo.

More to come
 
basi wale wanaoamini kwenye mizungu hawakawii kuanza ibada.
 
Dah!hi ya kwako nayo uongo sasa

Hapana mkuu,

Inategemea na ubora wa kamera. AD katoa kwenye magazeti. Hiyo nimepiga mwenyewe kwa kamera yangu ambayo ni kimeo!


DC
 
aahh nimepata kwenye newspaper hii hapa ( rahaa zaidi kuona Live)[h=1]Lunar eclipse[/h] http://www.stuff.co.nz/national/4483527/Lunar-eclipse# The brilliance of a blood red moon during a full lunar eclipse was seen last night. The eclipse, where the moon turned red as its obscured by the Earth's shadow, began at about 8.50pm. By about 11.25pm the moon had resumed its full brightness. http://www.stuff.co.nz/national/4483527/Lunar-eclipse#http://www.stuff.co.nz/national/4483527/Lunar-eclipse#
Mkuu nimeona, nimekumbuka geography yangu ya form one kitambo! Lunar eclipse mzuka sana km hauvui dagaa!
 
Embu nitumie picha...huku UngaLTD moshi wa bangi umeziba anga!!
du, moshi wa bangi, nimecheka san, mie jana niliona kwenye saa nne hivi, lakini sikukaa mpaka total eclipse , but was clear and interesting, and is is said to be the longest;
"Melbourne Planetarium curator of scientific instruments Martin Bush said it would be the longest one since 2000 - which was one of the three longest since 1000BC."

the eclipse took around 100 minutes,

he next lunar eclipse is due on the 10th of December, 2011, but as the ABC's article points out, "it won't be as dark", with a totality of only 51 minutes, instead of this morning's 100-minute extravaganza.

iTWire - Lunar eclipse eclipses expectations, lunacy returns Dec 10

Longest lunar eclipse for a decade turns moon blood red | Herald Sun
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom