JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kiswahili/kiti wa mtaa msibani tarime: Ndugu sangu tumekucha hapa maarum kwa chambo mocha tu. Mama Robi amefirwa na kaka yake usiku wa kuamkia reo. chambo ra kufirwa si ra mcheso, na si ra mtu...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Ndiyo ni kweli natoa!! Natoa avatar yangu kuanzia kesho maana naona vijino pembe wamezidi kuniandama na kunitumia pm nyingi sana. Pia naona akina Speaker, Okada, Asprini na wengine wananisakama...
0 Reactions
87 Replies
8K Views
Jamaa alioa mwanamke na kubahatika kupata mtoto mmoja. Wakati mama akimnyonyesha mtoto wake, jamaa akaona mapenzi yote yamehamia kwa mwana. Kabla mkewe hajazaa, mumewe akirudi kazini alikuwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
You can’t run way from problems; there is no running away, no place to hide. Whether rich or poor, you will have to cope. How well you cope and adapt makes a big difference. Remember: Champions...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu yangu alipost kwenye hii website ya watanzania Tanzania | About Tanzania, Tanzania Information, Tanzania Directory > ZoomTanzania.com tangazo la kuuza gari. Akapokea simu jamaa wanaitaka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwalimu aliwataka wanafunzi waandike insha juu ya mechi ya mpira wa miguu ikiwa imefanyika mjini wakati wa usiku. Karibu wote waliandika kwa hamasa na kujaza kurasa, isipokuwa dogo mmoja aliandika...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
i mean seriously i need a cure,or a rehab centre i need one,i almost got an accident while checking jf on road,in the office i got countless warnings of mis using the office int.connection,at home...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
One day dogo alikwenda market with his dad,suddenly the guy told his dad that zip is open,dad warned...that is not the best way 2tell. you have 2say the make up box is open. Another day dingi...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Hali inayoendelea ndani ya ccm ni balaa tu! Mapacha wa tatu wamemkalia kooni m/kiti wa chama pamoja na mdomo wake uitwao Nape!Uchunguzi binafsi nilioufanya toka ndani ya ccm unabainisha kuwa sasa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Lowassa azikoroga serikali ya JK, CCM • Pinda, Mukama, Nape watoa kauli za mshtuko na Mwandishi wetu Tanzania Daima MWENENDO wa siku za hivi karibuni wa Waziri Mkuu wa zamani, Edward...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Members JF! Habari. Nashukuru niliomba maelekezo ya kujua magazeti ya kusoma pia stations za kupata habari. Ila nilishindwa hata kuitumia phone yangu so nimeshindwa kuwasiliana kipindi...
0 Reactions
64 Replies
6K Views
Huyu jamaa kwa kweli namzimia sana wajameni kha?!! Ametoa Thanks kuliko dah MJ Big up sana bana Masikini_Jeuri View Profile View Forum Posts Private Message Add as Contact Send Email...
6 Reactions
65 Replies
5K Views
[STEP1]>>Add 18 to your birth month. [STEP2]>>Multiply by 25. [STEP3]>>Subtract 333. [STEP4]>>Multiply by 8. [STEP5]>>Subtract 554. [STEP6]>>Divide by 2. [STEP7]>>Add your birth date...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Jamaa anatoa ushahidi polisi. Jamaa; akaja akaanza kunivua suruali kwa nguvu mi nikamwangalia tu. Akavua kamptula yake akachomoa nanilihu akaanza kunifi** Polisi: Alikuwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
MUME aliingia nyumbani kwake akipiga kelele za furaha akisema;Hoorray!yes!,nimeshinda bahati nasibu ya shilingi milioni 100!!. MKEWE naye akaitikia kwa kelele za furaha na kumuuliza MUMEWE;"Kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
by tindu lisu.
0 Reactions
1 Replies
991 Views
Inasemekana kuwa MS anataka kujivua Gamba ila hajui aanzie wapi. Hii imetokana jana baada ya MS kujibiwa Hoja zake na Rais wetu Dr.Slaa na MS kuzikubali na kulainika kiasi cha kutaka kuichoma moto...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Recently in Tarakea a man fled to Tarakea police station to seek protection against his sexually enthusiastic wife. He arrived at the station dressed in a shirt and underwear. His pants in hand...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Sasa imefika wakati ambao hakuna tofauti ya degree na certificate, leaving certificate hasa tukiangalia kudhalilishwa kwa wanafunzi udom. wazee wameanikwa kama mishikaki juani siku 2 nzima...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Enzi zilee ukipingana na ccm ujue unamkaribisha israel mtoa roho! Tangu nguvu ya upinzani iwe chini ya werevu vifo tata vya viongozi makini vimepungua huku ccm wakipingana hadharani! Hii...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom