Green guards, Mungiki, Hamas na Al shabab waitosa ccm!!

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,987
20,273
Enzi zilee ukipingana na ccm ujue unamkaribisha israel mtoa roho!

Tangu nguvu ya upinzani iwe chini ya werevu vifo tata vya viongozi makini vimepungua huku ccm wakipingana hadharani!

Hii inanifanya nijiulize wapi green guards, mungiki na al shababi makundi rafiki muhimu wa ccm?
 
Mkuu, hii ni kweli? Ebu tupe data kidogo kwa hili. Enzi zipi (hawamu) na angalau wale wote ambao waliuliwa na hawa jamaa maana hawa ni watu hatari.
 
Wee acha uchochezi unataka wakiwepo hao wafanye nini? Hapa ni hoja tu mpaka kieleweke mambo ya ngumi, ubabe, umafia yamepitwa sana na wakati. Sasa hivi lete hoja mezani toishambulie hatushambulii watu hoja! hoja! hoja! hojaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Enzi zilee ukipingana na ccm ujue unamkaribisha israel mtoa roho!Tangu nguvu ya upinzani iwe chini ya werevu vifo tata vya viongozi makini vimepungua huku ccm wakipingana hadharani!Hii inanifanya nijiulize wapi green guards, mungiki na al shababi makundi rafiki muhimu wa ccm?
Mkuu, mapenzi yako kwa CDM yasikufanye kila pumba ubandike humu jamvini, ebu lete ushahidi wa maneno yako ubandike humu tupate kujadili, JF, sio sehemu ya porojo
 
Mkuu, hii ni kweli? Ebu tupe data kidogo kwa hili. Enzi zipi (hawamu) na angalau wale wote ambao waliuliwa na hawa jamaa maana hawa ni watu hatari.
Sokoine, Kolimba,Chifupa,Dr ali juma,Chacha wangwe,Ditopile,Sheikh Abeid karume, Ukitaka ushahidi kamili wa kila kifo na uhusika wa makundi hayo utamwagwa hapo!!Endeleeni kuongeza wale mnaokumbuka!
 
SokoineKolimbaChifupaDr ali jumaChacha wangweDitopileSheikh Abeid karumeUkitaka ushahidi kamili wa kila kifo na uhusika wa makundi hayo utamwagwa hapo!!Endeleeni kuongeza wale mnaokumbuka!
Hahahaha unaweza ongeza hata la ndgu yako hapo,hao tunajua wamekufa lkn ushahid tunaotaka ni kytuthibitishia kuwa waliuliwa na ccm km ulivyodai,thibitusha tafadhal
 
Taarifa rasmi nilizonazo ni kuwa mission yao ya mwisho ilikuwa ni kumuua Mwakyembe, Sita na Slaa! Baada ya mission hiyo kufeli!Hapo ndipo chanzo cha makundi hayo kujitoa kuitumikia ccm!
 
Sokoine, Kolimba,Chifupa,Dr ali juma,Chacha wangwe,Ditopile,Sheikh Abeid karume, Ukitaka ushahidi kamili wa kila kifo na uhusika wa makundi hayo utamwagwa hapo!!Endeleeni kuongeza wale mnaokumbuka!
Mbowe,Slaa,Zitto,Lema...........
 
Mkuu, mapenzi yako kwa CDM yasikufanye kila pumba ubandike humu jamvini, ebu lete ushahidi wa maneno yako ubandike humu tupate kujadili, JF, sio sehemu ya porojo
leo ndio umezijua porojo? Ni kwel jamaa kaleta porojo lakn na wewe una porojo zaidi yake. Mkuki kwa nguruwe.
 
Sokoine, Kolimba,Chifupa,Dr ali juma,Chacha wangwe,Ditopile,Sheikh Abeid karume, Ukitaka ushahidi kamili wa kila kifo na uhusika wa makundi hayo utamwagwa hapo!!Endeleeni kuongeza wale mnaokumbuka!
nyerere na shelembi wa shy
 
Mkuu, mapenzi yako kwa CDM yasikufanye kila pumba ubandike humu jamvini, ebu lete ushahidi wa maneno yako ubandike humu tupate kujadili, JF, sio sehemu ya porojo
leo ndio umezijua porojo? Ni kwel jamaa kaleta porojo lakn na wewe una porojo zaidi yake. Mkuki kwa nguruwe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom