Malaria Sugu Kujivua Gamba?

Malaria Sugu Kujivua Gamba?

AirTanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2011
Posts
1,139
Reaction score
1,040
Inasemekana kuwa MS anataka kujivua Gamba ila hajui aanzie wapi. Hii imetokana jana baada ya MS kujibiwa Hoja zake na Rais wetu Dr.Slaa na MS kuzikubali na kulainika kiasi cha kutaka kuichoma moto kadi ya magamba mda huo huo. Source kutoka kwa mtu wa karibu inasemekana kuwa MS anafikiria kuiridisha kadi ili achukuwe ya chadema. Inasemekana pia siku atakayojivua Gamba pia atatoa taarifa hapa JF

MS anaanza kupona Malaria sasa na kuuona mwanga
 
Unajidanganya ndugu yangu. Malaria Sugu huyu huyu au mwingine? Tabia yake ndio hii ya kubadilika badilika lakini sio kujivua gamba. Sijui
 
unajua kua kichaa hua hakiponi kama ni kipindi ya masika yakiisha anapona yakirudi huyo tena
 
Unajidanganya ndugu yangu. Malaria Sugu huyu huyu au mwingine? Tabia yake ndio hii ya kubadilika badilika lakini sio kujivua gamba. Sijui

hata mimi pia siamini kuwa MS kama ataweza kujivia Gamba lililomshinda Lossawa na RA, lakini ngojeni MS aje atupe hizi habari za kujivua gamba. Inasemekana kuwa MS anachukizwa sana na Ufisadi ndani ya serikali na chama chake cha magamba.

Ila Jana MS alikuwa na furaha tele kiasi cha kuwanunulia washikaji zake dinner kwakujibiwa hoja zake na Rais wetu Dr.Slaa na akamkubali kuwa Dr.Slaa anajua kujibu hoja bila ya kumdharau mtu sio kama viongozi wake wa Magamba na akasema pia ameikubali Phd ya Dr. Slaa ni ya ukweli na ameifanyia mitihani sio ya kununua kama ya Kikwete.
 
kumbe malaria sugu ana id mbili hapa jf kumbe jina lingine,air tanzania!
 
Inasemekana kuwa MS anataka kujivua Gamba ila hajui aanzie wapi. Hii imetokana jana baada ya MS kujibiwa Hoja zake na Rais wetu Dr.Slaa na MS kuzikubali na kulainika kiasi cha kutaka kuichoma moto kadi ya magamba mda huo huo. Source kutoka kwa mtu wa karibu inasemekana kuwa MS anafikiria kuiridisha kadi ili achukuwe ya chadema. Inasemekana pia siku atakayojivua Gamba pia atatoa taarifa hapa JF

MS anaanza kupona Malaria sasa na kuuona mwanga

Acha umbea...mtu wa karibu wa MS ni nani kama sio wewe mwenyewe?
 
atakuja mwenyewe origino subirini atakavyofyatuka!
 
Acha umbea...mtu wa karibu wa MS ni nani kama sio wewe mwenyewe?

Kumbe wanachichiem mpo wengi? subirini siku MS atakapo sema amejivua gamba rasmi ndio mtasema ameibiwa password yake
 
Labda Chadema wahamishie Ofisi zao ndani ya Msikiti wa Mtambani na Mwenyekiti awe Profesa Safari na Makamu awe Profesa Lipumba, katibu Mkuu awe Mzee Arfi. Maana jamaa ni Mdini!
 
Jasiri haachi asili, mtoto wa nyoka ni nyoka tu.
 
Who is malaria sugu mpaka thread inaanzishwa kumzungumzia?
 
ndugu zangi. Mimi ni mtanzania kama nyinyi, tunatafautiana kiitikadi. namuheshimu sana dk slaa kwa majibu mazuri alionipa. lkn naunga mkono maneno ya wapinzani Bungeni. SIOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
Nilifikiri utajibu hoja!
 
CDM mngepata kichwa kimoja tu kama cha MS humu JF mngetamba sana. Nashkuru kuwa MS hayupo upande huo na sababu zake za kutokuwa huko zinakubalika.

MS hawakuwezi hawa.
 
Back
Top Bottom