Kiherehere chote kwisha!

Kiherehere chote kwisha!

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
MUME aliingia nyumbani kwake akipiga kelele za furaha akisema;Hoorray!yes!,nimeshinda bahati nasibu ya shilingi milioni 100!!. MKEWE naye akaitikia kwa kelele za furaha na kumuuliza MUMEWE;"Kwa hiyo nifungashe mabegi kwa safari ya wapi,Zanzibar au mbuga za wanyama za Serengeti?[MUME] :Utajua mwenyewe unakoenda,ilimradi nisikuone tena kwa sababu nahitaji kuoa mke mpya!
 
Teh teh teh teh teh...mbumbuwazi si mbumbuwazi, kilio si kilio! Teh teh teh teh
 
Back
Top Bottom