JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mwanafunzi wa kijaluo alipatiwa mtihani wa insha ilionza hivi nilipofika nyumbani nilimpata mama amepigwa na butwaa na bumbuwazi..... Mwanafunzi akaendeleza....kitu ya kwanza naenda kwa kina...
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Wana jf naombeni tukumbushane vitimbi vya primary enzi zile. Nakumbuka ilikua ukinunua andazi unaliweka mdomo zimazima au unalitemea mate ili usiombwe du! Kanyaga twende
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ukiwa na stress ingia humu tu, utacheka mpaka upone hiyo stress, yaani ni mipasho tu, hahahahahaaaaaaaaaaaaa, kila hoja inayowekwa hata kama inadai majibu ya hoja, hutayaona, bali utakutana na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Two presidents are talking over coffee and croissants at their country club one day. Kagame, of Rwanda, says to Kibaki(Kenya) "Hey, I tell you my driver is really stupid. Do you doubt me...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Jamaa alikwenda kununua sigara,alipopewa akataka na kibiriti ili awashie palepale. Muuzaji akamjibu;haturuhusu kuvuta sigara hapa. mteja kamuuliza;sasa mbona mnauza? Muuzaji akamjibu;eboh!! ina...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna vituko vingi sana tulifanya tukiwa wadogo rika lile la shule ya msingi. Visa tulifanya kanisani, shuleni, nyumbani na mitaani kwa ujumla. Je wewe unakumbuka kituko gani?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kulikuwa na operation ya kufukuza machinga jijini!! Wakadakwa Chinga wote!! Sasa Polisi watajuaje huyu ni chinga!! Fuatilia...: Polisi: Sema msumari?? Chinga 1: Mchumari...kaa kando!! Polisi...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwanamke mmoja alikuwa wa ki-leo sana kiasi kwamba sehemu kubwa ya pato lake na mume wake liliishia katika kubadilisha samani na vyombo vya matumizi ya nyumbani na kuweka vya umeme: jiko, sufuria...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa maombi ya wengi nimeamua kuludisha. Na pia kero za Lizzy zmenifanya nirudishe!! Kwa nini nisifanye kitu moyo unapenda? Hilo ni moja. La pili.......Sifurahishwi na hali ya pale ninapofanya...
0 Reactions
129 Replies
8K Views
Nimejichokea zangu narudi kutoka kazini, niko kwenye usafiri wetu wa jumuia. Foleni ilipoanza kunoga basi kamjadala kakaanza mara baada ya kupita kibasi kikiwa na abiria wenye nguo za njano na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Dogo mmoja katoka saloon katengeneza nywele kwa mtindo wa fidodido(dread style).Alipokutana na baba yake ambaye ana uwalaza(upara) wa kati alifokewa sana na kuambiwa akanyoe nywele vizuri kwani...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Dogo akamuuliza mama yake mjamzito, 'eti mama mbona tumbo lako kubwa sana'? Mama akajibu 'nina mtoto tumboni'. Dogo hakuelewa, siku moja mama anasonga ugali akawa amekaa vibaya. Dogo akaona ishu...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani je mwanamke akijua kukatika wakati wa majamboz ndio anajua mapenzi? Vipi kama sio mwaminifu, hakujali, hakuthamini, hakutunzi na wala hakuthamini? Anakutusi, anakusimanga na wakati...
0 Reactions
14 Replies
8K Views
A computer addict falling from the roof of a building shouting 'F1' 'F1' 'F1' instead of 'Help' 'Help' 'Help'
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Salamu zenu wakuu.. Karibuni wote kwenye wiki hii mpya Hopefully itakuwa wiki nzuri kwa kila mmoja Wetu.. Chemsha Bongo J3 hii. 20% ya wanaume/ vijana wanaogopa sana Hiki kitu...
2 Reactions
97 Replies
9K Views
kuna watu wakiwa ndani ya vyombo vya usafiri ni watu wanaopenda kujionyesha wanajua kila kitu kwa huongea kwa sauti ya juu sana hadi kuwakera jirani zao. kuna jamaa mmoja alikuwa akisafiri kutokea...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
s-smart t-talented u-unique p-person i-in d-demand
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau wa jukwaa la Mapenzi, Mapendo na Uhusiano. Ni wakati muafaka tena wa kutembelea vivutio vya utalii wa ndani kwa mwaka huu wa 2011. Ikumbukwe kwamba hii ilishafanyika kabla kwa wadau...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wandugu, Sijui ni mtizamo wangu na wa baadhi ya watu? Kuwa kikifikia kipindi cha mfungo wa Ramadhani (Holly month)uhalifu unapungua sana sana. Vibaka wanapungua machangudoa wanaisha kabisa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ni kitu gani huwa unafanya unapotoka kwenye mood ya kawaida?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom