Mwanafunzi na insha

Mwanafunzi na insha

MAMMAMIA

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Posts
3,811
Reaction score
1,607
Mwalimu aliwataka wanafunzi waandike insha juu ya mechi ya mpira wa miguu ikiwa imefanyika mjini wakati wa usiku.
Karibu wote waliandika kwa hamasa na kujaza kurasa, isipokuwa dogo mmoja aliandika maneno matano tu na kusbiri wengine wamalize apeleke insha yake. Katika kupitapita, mwalimu akaona alivyandika dogo: TANESCO walizima umeme, mechi imeahirishwa.
 
leta nyingine.haijabamba sana mkuu.
 
woow, a student of gret intellect.!!
 
Back
Top Bottom