A computer addict

IT Guru

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
635
112
A computer addict falling from the roof of a building shouting
'F1' 'F1' 'F1'
instead of 'Help' 'Help' 'Help'
 
hizi teknolojia hata mimi zinanichanganya kiukweli, niltuma msg ya matusi kusikohusika nakawa natafuta kitufe cha ku UNDO kwenye simu yangu sijakiona, matokeo yake nikabaki nimefedheheka tu.
 
hizi teknolojia hata mimi zinanichanganya kiukweli, niltuma msg ya matusi
kusikohusika nakawa natafuta kitufe cha ku UNDO kwenye simu yangu sijakiona, matokeo yake nikabaki
nimefedheheka tu.

Ni kweli, wakati mwingine mimi nikikosea jambo (katika maisha ya kawaida) nataka ni-UNDO!
 
No no, nilichoandika ndicho ninachomaanisha

ha ha ha ha hahahaaa! nilikuwa naendeleza ulichokiandika, hihihihihihiii...nimejikuta nacheka mwenyewe, namaanisha kuwa ''au ukitaka ku'edit kitu, nikaendeleza kuwa hiyo kitu inanichanganya sana. hapo kweli lugha gongana, ha ha ha ha ha ha
 
ha ha ha ha hahahaaa! nilikuwa naendeleza ulichokiandika, hihihihihihiii...
nimejikuta nacheka mwenyewe, namaanisha kuwa ''au ukitaka ku'edit kitu, nikaendeleza kuwa hiyo kitu inanichanganya
sana. hapo kweli lugha gongana, ha ha ha ha ha ha

Ha haa haaaaaaaaa! Very fun!
 
waz having 'fun' with a girl one time,and really once nikasema 'refresh'. She said 'nini?' then i was like 'nothing?' dah tech ina2potosha!
 
Back
Top Bottom