Kipi kipimo cha mwanamke kujua kufanya mapenzi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kipi kipimo cha mwanamke kujua kufanya mapenzi?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Bujibuji, Jul 6, 2011.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Jul 6, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,321
  Likes Received: 22,165
  Trophy Points: 280
  Jamani je mwanamke akijua kukatika wakati wa majamboz ndio anajua mapenzi?
  Vipi kama sio mwaminifu, hakujali, hakuthamini, hakutunzi na wala hakuthamini?
  Anakutusi, anakusimanga na wakati mwingine anakuzaba vibao? Lakini mkiingia kitandani anakatika kama feni?
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Jul 6, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,434
  Likes Received: 19,775
  Trophy Points: 280
  afro-d.......
   
 3. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #3
  Jul 6, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  AD kafanyaje? ndo bingwa wa kukatika ama wa kuthamini na kutunza, ama wa kuzaba vibao?
   
 4. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #4
  Jul 6, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,090
  Likes Received: 6,557
  Trophy Points: 280
  Geuza upande wa pili wa shilingi.Naomba utujibu na sisi. nawakilisha.
   
 5. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #5
  Jul 6, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Labda ni mchambuz wa MAHABA
   
 6. D

  Derimto JF-Expert Member

  #6
  Jul 6, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Haya wee! Huwa ni bahati mbaya tu mkimaliza anakwambia halafu wewe mie sijazoe wewe ni mtu wa tatu tangu nimjue mwanaume
   
 7. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #7
  Jul 6, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,321
  Likes Received: 22,165
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo akiwa anakatika sana inabidi AGEUZWE?
   
 8. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #8
  Jul 6, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Kutokana na heading yako, jiulize kwanza kufanya mapenzi maana yake nini halafu ndo uanze kujiuliza hayo mengine!!1
   
 9. M

  Malk Mush Member

  #9
  Jul 6, 2011
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hapana ila mapenzi c ngono tuu bali hata kutunzana na kuthaminiana ni mapenza hivyo kukatika wakat wa majamboz si kitu pasipo na aman na upendo ndani yake
   
 10. wahida

  wahida JF-Expert Member

  #10
  Jul 7, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 388
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  aaa lakin kuna story nyengine ,zinatukata mbavu,, zina chekesha ,kuzabwa vibao,, na mwanamke,, haha so intresting ithink..
   
 11. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #11
  Jul 7, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,321
  Likes Received: 22,165
  Trophy Points: 280
  Cha kusikitisha kuna vijana wanatangaza ndoa kisa tu kapewa mauno ya hatari.
  Wakiingia kwenye ndoa, mke anakuwa mkwe, ndoa inakuwa ndoano kisha kuachana
   
 12. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #12
  Jul 7, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  asante kwa kunijuza,ngoja nimsake na mie anichambulie!
   
 13. Kiroroma

  Kiroroma JF-Expert Member

  #13
  Jul 7, 2011
  Joined: Feb 6, 2009
  Messages: 368
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Bujibuji una hoja katika hilo,Yamkini unataka kutofautisha speed ya feni katika mauno ya mfanya mapenzi au mapenzi kama kigezo muhimu uwepo wa kukata mauno.Tenganisha ndoa na mapenzi,Kisha ufanye tathimini kujua mauno kama ni sehemu ya kufanya mapenzi au mapenzi ni sehemu muhimu kukiwepo mauno kwa kasi ya speedi ya feni. NAWASILISHA
   
 14. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #14
  Jul 7, 2011
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  tatizo mnaangalia kwa macho wachumba zenu kisha kesho mnakuja kujisifia Jf kuwa nina demu mkali nataka kuoa,. Mungu unamuweka kando, demu akianza kukuzingua baada ya ndoa, ndio unamkumbuka Mungu, mara ohh mchungaji niombee.JIFUNZENI KUMTANGULIZA MUNGU.
   
 15. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #15
  Jul 7, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Jamani mahusiano na kufanya ngono ni vitu viwili tofauti! Sasa kama walivyokuuliza hapo juu, inategemea what u mean by mapenzi! If u narrow it to making love (art of making love) then to most men mwanamke awezaye kukatika mara nyingi husifiwa kujua mapenzi; lkn kama mapenzi yana maana kubwa zaidi (jinsi mnavyohusiana; then kukatika peke yake hakutoshi, kumqualify mwanamke kujua mapenzi.

  Vipi kuhusu mwanamume?
   
Loading...