Jukwaa la Mapenzi na utalii wa ndani 2011: | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jukwaa la Mapenzi na utalii wa ndani 2011:

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Masaki, Jun 21, 2011.

 1. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Wadau wa jukwaa la Mapenzi, Mapendo na Uhusiano.

  Ni wakati muafaka tena wa kutembelea vivutio vya utalii wa ndani kwa mwaka huu wa 2011. Ikumbukwe kwamba hii ilishafanyika kabla kwa wadau kutembelea vivutio vya utalii hapa nchini, wakala raha, wakafahamiana na kubadilishana mawazo.

  Mwaka huu wa 2011 uko katikati sasa. Nimeona ni vema tukajidili suala hili yakiwemo mapendekezo ya kivutio kipi cha utalii tukitembelee mwaka huu.

  Mjadala uko wazi....!!
   

  Attached Files:

 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,774
  Likes Received: 502
  Trophy Points: 180
  Mimi utalii wangu hapa hapa mmu, thread 2 thread, comment 2 comment.
   
 3. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,564
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  me too
   
 4. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #4
  Jul 6, 2011
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,339
  Likes Received: 1,008
  Trophy Points: 280
  wajameni hebu tuwe serious on this...

  wapi twende?
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Jul 6, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,534
  Likes Received: 21,016
  Trophy Points: 280
  mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
   
 6. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #6
  Jul 6, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Hutaki ku promote utalii wa ndani mkuu?
   
 7. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #7
  Jul 6, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,141
  Likes Received: 239
  Trophy Points: 160
  Husninyo na Gaga hebu semeni bana acheni masihala mie napendekeza Seruuu
  Ukiniuliza kwanini kwa sababu sijawahi kufika huko kwingine nishakwenda kama mara tatu tatu hivi.
   
 8. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #8
  Jul 6, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,138
  Likes Received: 468
  Trophy Points: 180
  Masaki naona North of Serengeti National Park maana migration ndo inaelekea Masaai Mara
   
 9. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #9
  Jul 6, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,024
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Hutaki kutalii wewe
   
 10. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #10
  Jul 6, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,024
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Mikumi bi aje
   
 11. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #11
  Jul 6, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 29,952
  Likes Received: 5,095
  Trophy Points: 280
  nimeipenda
   
Loading...