NO.2 Chemsha Bongo

afrodenzi

Platinum Member
Nov 1, 2010
18,145
9,206
Salamu zenu wakuu..
Karibuni wote kwenye wiki hii mpya
Hopefully itakuwa wiki nzuri kwa kila mmoja
Wetu..

Chemsha Bongo J3 hii.

20% ya wanaume/ vijana wanaogopa sana
Hiki kitu................ Je ni kitu gani? ??

Hint.. Ni kitu ambacho sisi wanawake/
Wasichana tukiwa tunafanya ( wenyewe wanaogopa)....

Asanteeni..
 
Salamu zenu wakuu..
Karibuni wote kwenye wiki hii mpya
Hopefully itakuwa wiki nzuri kwa kila mmoja
Wetu..

Chemsha Bongo J3 hii.

20% ya wanaume/ vijana wanaogopa sana
Hiki kitu................ Je ni kitu gani? ??

Hint.. Ni kitu ambacho sisi wanawake/
Wasichana huwa tunafanya....

Asanteeni..

....phheeewww, kwa umri huu uwoga wa nini tena, najiamini nipo kwenye 80% waliobakia
acha ni skip swali... (wanaume) endeleeni kujichongea.
 
....phheeewww, kwa umri huu uwoga wa nini tena, najiamini nipo kwenye 80% waliobakiaacha ni skip swali... (wanaume) endeleeni kujichongea.
MmhhhhMbu wasaidie wenzie..
 
20% ya wanaume/ vijana wanaogopa sana
Hiki kitu................ Je ni kitu gani? ??

Hint.. Ni kitu ambacho sisi wanawake/
Wasichana huwa tunafanya
....

haha..mimi naogopa kuambiwa "Acha uongo" au "Tell me the truth Mentor"
...maana translation yangu ni huwa, "Please lie to me Mentor!!!" na mimi huwa sipendi kudanganya!!!
 
haha..mimi naogopa kuambiwa "Acha uongo" au "Tell me the truth Mentor"...maana translation yangu ni huwa, "Please lie to me Mentor!!!" na mimi huwa sipendi kudanganya!!!
Hahahaha lolz..Mentor bwana unafujo sanammhhhLakini hilo sio jibuSamahani..
 
...mimba (unplanned) tu ndiyo inayoogopewa bana, zaidi ya hapo, labda kila mtu na uwoga wake.
Sante Mbuu Lakini hiyo na dhani Itakuwa zaidi ya 20%Jibu lako silo ( hapana)Asantee
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom