Uhalifu kupungua kwa mwezi 1 next August | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uhalifu kupungua kwa mwezi 1 next August

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by NGULI, Jul 5, 2011.

 1. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #1
  Jul 5, 2011
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Wandugu,

  Sijui ni mtizamo wangu na wa baadhi ya watu? Kuwa kikifikia kipindi cha mfungo wa Ramadhani (Holly month)uhalifu unapungua sana sana. Vibaka wanapungua machangudoa wanaisha kabisa pamoja na utulivu sehemu nyingi za dunia una prevail hata maeneo ya vita vinapungua au kusimama kwa mwezi mtukufu.

  Swali ni je?

  1. Hawa waliofunga ndio wengi ndio watenda uhalifu?kununua machangu,kupora na ugaidi.
  2. Hao wasiofunga ndio wanawatendea uhalifu waliofunga so kipindi cha Ramadhani wanawaonea huruma na kuwaheshimu so hawawasumbui?.

  My take and my request

  Kwa nn wanadamu tusiishi kama kila siku ni Ramadhani??
   
 2. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #2
  Jul 5, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Unaweza kutupa statistics za huo uhalifu unapunguaje? Unatoka kipimo cha ngapi hadi ngapi? Nafikiri tukianzia hapo tutapata majibu murua sana
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  Jul 5, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160

  Hili halina ubishi hata mauza uza JF yatapungua sana.
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Jul 5, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Hata mauzo ya hii kitu nasikia yana'diminish!..Sina DATA zozote, lakini wauzaji huwa na kilio sana!
  [​IMG]
   
 5. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #5
  Jul 5, 2011
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Unapungua frm 100-20%, random sampling
   
 6. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #6
  Jul 5, 2011
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Na hili nitalifanyia utafiti, modes watapumua
   
 7. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #7
  Jul 5, 2011
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Kweli tafiti yangu inaonyesha hata mdudu anashuka bei kwa poor deman, sasa sijui wasiofunga ndio wanafunga kula huyo mdudu?
   
 8. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #8
  Jul 5, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  wanaofunga hao hao ndo wanaoacha kula. No offence but them sheihs are eating this thing like hell where i am! Eti wakifunga ndo wanaacha mhgh!
   
 9. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #9
  Jul 6, 2011
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145

  Labda tuseme...kwamba wanaofanya kazi hizo ndii wanafunga? Au tuseme ni mwezi mtukufu na pilika pilika za mjini zinapungua watu wakimsujudia mungu wao na kuomba kusamehewa kwa dhambi zao....statistic ingine unaweza fanyia utafuti je wale wezi na categeries ulizosema hapo wanarudi wale wale baada ya mfungo? Au wanakuja wapya as wale washaomba kusamehewa dhambi zao kwa maombi na sadaka hawatopenda tena kurudia hali zao za awali...ila town kunakuwa kumepoza sana.
   
 10. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #10
  Jul 6, 2011
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,920
  Likes Received: 2,068
  Trophy Points: 280
  Pengine ni dua zinakuwa zinasikizwa ndio maana uhalifu unapungua na hata demand ya 'mkuu wa meza' inapungua pia!
   
 11. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #11
  Jul 6, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,481
  Likes Received: 12,757
  Trophy Points: 280
  nw pia wale mash..e wanaongozaga
  kubadili majina na kula vichochoroni
  wakifika home utadhani wamefunga
  kumbe loool wameshba na pia wamekandamiza
  totoz mitaani
   
 12. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #12
  Jul 6, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Flora Msoffe ni kweli?
   
 13. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #13
  Jul 6, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,154
  Trophy Points: 280
  Nguli upo?? Sawa bwana kwa kikwetu tunasema no comment
   
 14. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #14
  Jul 6, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  hii thread ni provocative sana aisee
   
 15. eyetyna

  eyetyna Senior Member

  #15
  Jul 6, 2011
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 148
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  mmmh hivi inawezekaka kweli?
   
Loading...