JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Sioni mantiki ya kusomwa bajeti za wizara zote bungeni? kwani hakuna bajeti inayoweza kuzuiliwa hata kama haikubaliki. Kwanza, kwa kuwa wabunge wa chama tawala hawapingi chochote kinacholetwa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
wanajamvi wote! salaam sana. CDM ni kimeshaonyesha kuwa ni Chama Mbadala na makini. Ukweli unabaki pale pale. Kinatawala nchi hii kwa mlango wa Nyuma. Vichwa kama Slaa, Mbowe Zitto na wengine...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
YALE yanayooneshwa katika TBC yamefanikiwa kukifanya kipindi laivu cha bunge kuwa 'soap-opera' bora nchini. Hivi sasa, hasa, kukiwa na hoja moto inayompa spika ujeuri na jazba na hali kadhalika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwenzenu nimejaribu kufikiri kwa undani juu ya matamshi ya ndg samwel 6, nimekubaliana na ule msemo wa kiswahili unaosema 'Ukiona manyoya, ujue ameliwa'. Sasa nimeona manyoya na ku conclude kuwa...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kama lipo lipo,kama halipo laja,ukiona watu wanakutupia jicho jiulize kwanini?labda hukuvaa inavyostaqhili,uko uchi,au umechanganyikiwa au una kasoro fulani.lakini pia ukiona wanatoa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Baada ya Rostam kuachia ngazi sasa ni zamu ya mapacha wengine nao kufuata nyayo zake, baada ya hapo mama na baba yao nao wafuate, baada ya hapo wadogo zao na wajomba zao pia wafuate pia. Kama...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Dereva mmoja ambaye ni mtu wa makamo alikuwa kapaki taxi yake kwenye eneo la maegesho, akaja mtu mmoja aliyehitaji huduma ya usafiri. Baada ya makubaliano walianza safari yao, baada ya safari ya...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
This is an actual real event that took place and this is some ones USHUHUDA LOL! It's just another scam..... here's one that happened to me, that you men should be sure to watch out for. Over...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna Singasinga mmoja alikuwa anajamba ovyo usiku kucha, kwa kila aina ya sauti. Mkewe akamuuliza 'una nini leo?' Akajibu 'natafuta ringtone ya ****** yangu'
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tumesikia kwa watoto wake na hata vijukuu vyao, hilo limerudi Dar. Majuzi tu tulisikia oh hakuwa anaumwa oh alikuwa kaenda kutibiwa na hakuwa hospitalini. Alielipia hizo bills huko nje ya nchi ni...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
WanaJF huyu mtu naomba contact zake tuuuuu.....najua yuko hapa kila wakati.....ana mdomu umejaa strawberry sijui, sijui nini yaani full utamu...BelindaJacob mama kama unanisikia kilio changu.....
1 Reactions
62 Replies
5K Views
Siku moja Padre mmoja na sister walikuwa safarini, usiku uliwakuta katika mji mmoja wa kigeni hivyo wakalazimika kutafuta mahali pa kujihifadhi ili kutakapokucha waendelee na safari yao...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
poleni na maisha
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Jeneza Lenye Kichwa Cha Mbuzi Lakutwa nje ya Nyumba Mbezi Luis, Dar es Salaam Mkazi mmoja wa Mbezi Luis jijini Dar es Salaam, ameamka asubuhi na kukuta jeneza likiwa limewekwa mbele ya mlango wa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
As the bus stopped and it was her turn to get on, she became aware that her skirt was too tight to allow her leg to come up to the height of the first step of the bus. Slightly embarrassed and...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Jamani niko Mwanza, na nimepata nafasi ya kufika hapa Malaika Beach Hotel, ni hotel nzuri sana, haijakamilika na wahudumu wamezubaa. Je ikikamilika na huduma zikiboreshwa inaweza kuwa na nyota...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wanajf nimekuwa nikiona watu wengi wanaosakata rumba na miziki mbali mbali wanatikisa kiuno tu, hii ndo aina pekee na maalum ya kucheza muziki tu au ni kutofahamu aina za kucheza mziki , hapa tz...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Kuna uvumi kuwa mfalme wa Ashanti GHANA yuko nchini kujaribu kuwapatanisha Mkapa na Kikwete wamalize tofauti zao kiutu uzima chini ya usuluhishi wake.Sijui ni kweli
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari za saa hizi Mabibi na Mabwana. Ufuatao ni utabiri wa hali ya Umeme kwa siku ya leo! Pepo za umeme zitavuma taratibu kutoka upande wa kusini mwa Dar es Salaam kuelekea upande wa Kaskazini...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Haya maonezi bana,kama sigara zinauzwa halafu zimeandikwa kwenye paketi;ONYO,NI HATARI KWA AFYA YAKO,basi na GONGO nayo iuzwe kihalali na chupa zake ziandikwe;ONYO,NI HATARI KWA AFYA YAKO!
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…