Mfalme wa ashanti kaja kupatanisha mkapa na kikwete? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mfalme wa ashanti kaja kupatanisha mkapa na kikwete?

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by RICHEST, Jul 13, 2011.

 1. RICHEST

  RICHEST Member

  #1
  Jul 13, 2011
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuna uvumi kuwa mfalme wa Ashanti GHANA yuko nchini kujaribu kuwapatanisha Mkapa na Kikwete wamalize tofauti zao kiutu uzima chini ya usuluhishi wake.Sijui ni kweli
   
 2. S

  SEAL Team 6 JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wasuluhishwe inamaana wamedhulumiana migao ya kifisadi
   
 3. The Inquisitive

  The Inquisitive Senior Member

  #3
  Jul 13, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 178
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Kwani wana bifu la nini?
   
 4. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  kazi kweli kweli kumbe ndo hivyo nilifikiri kaja kuchunguza sehemu za kuwekeza..
   
 5. H

  Hardwood JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 853
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 80
  Mfalme wa Ashanti ni nani?...coz Ghana inaongozwa na Raisi na si mfalme(though Ashanti ni mojawapo ya jimbo la Ghana). Huo ujio wake wa kiserikali au ni personal?
   
 6. The Inquisitive

  The Inquisitive Senior Member

  #6
  Jul 13, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 178
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Alafu jamaa (huyo mfalme) anavaa gold jewelry sijapata ona... pete, bangili kibao
   
 7. f

  fazili JF-Expert Member

  #7
  Jul 13, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 1,192
  Likes Received: 404
  Trophy Points: 180
  si unajua Ashanti ni kitovu cha migodi si ajabu kukuta mfalme wao kakalia kigoda cha dhahabu pure, huyu kaja na ishu za kuiba ama mambo yale ya kienyeji
   
 8. WISDOM SEEDS

  WISDOM SEEDS JF-Expert Member

  #8
  Jul 13, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 782
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Au kuna mgodi wanaumiliki pamoja? Who knows!
   
 9. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #9
  Jul 13, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,081
  Likes Received: 6,544
  Trophy Points: 280
  Kwani wana bifu gani au baba rich kaingilia maslahi ya kaka yake nini.
   
 10. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #10
  Jul 13, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Ashanti Gold mine wapo TZ jamani mbona mnalala?
   
 11. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #11
  Jul 13, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,130
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  kaz kwel kwel ila nshawah kusoma kuwa tz ndio nchi yenye mgodi mkubwa wa gold ukitoa pale ashanti utakua wao 2.
   
 12. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #12
  Jul 13, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  moja atakuwa kachua ratio kubwa.
   
Loading...