Tutanyakuliwa mawinguni

KAKA A TAIFA

JF-Expert Member
Apr 27, 2011
566
80
Kama lipo lipo,kama halipo laja,ukiona watu wanakutupia jicho jiulize kwanini?labda hukuvaa inavyostaqhili,uko uchi,au umechanganyikiwa au una kasoro fulani.lakini pia ukiona wanatoa minong,ono,maneno ya chini chini basi ujiulize kulikoni.ila mambo yakizidi sana lazima uyaweke wazi kwa wanao kuhusu wanafamilia,marafiki,maadui,na wapambe wote.ili wote wajue kinachoendelea.ila siku zote kumbuka huko ulikofika umefika kwa ushirikiano wa hao unaowapa taarifa za sasa.usisahau mbachao kwa msala upitao.leo hii uwe tajiri halafu uwatukane vijakazi wako acheni uchwara wenu mimi sikupata utajiri wangu kupitia kwenu.sasa vijakazi naomba mkumbusheni jinsi mlihangaika kwa jasho kumpatia huo utajiri
 
kaka taifa kumbe wewe ni tajiri ati, lakini huo utajiri wako sasa ujue kuna walioshiriki kwa namna moja au nyingine kuupata, hata kama ulimuuwa ndugu yako mganga alishiriki.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom