Magulumangu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 3,051
- 462
WanaJF huyu mtu naomba contact zake tuuuuu.....najua yuko hapa kila wakati.....ana mdomu umejaa strawberry sijui, sijui nini yaani full utamu...BelindaJacob mama kama unanisikia kilio changu.....
WanaJF huyu mtu naomba contact zake tuuuuu.....najua yuko hapa kila wakati.....ana mdomu umejaa strawberry sijui, sijui nini yaani full utamu...BelindaJacob mama kama unanisikia kilio changu.....
Tamaa kama yako na Magulu zina sababu.....Embu niquote kabla sijakuombea ban!!!!quote limegoma bana!Lizzy:kwanza hisia hazina jukwaapili mapenzi hayana sababu mimi mwenyewe nimejikuta napenda spelling za jina lako tu walahi! khaaa RIP klorokwini, mapenzi hayauwi lakini yanasababisha kifo. nakufa jamani
WanaJF huyu mtu naomba contact zake tuuuuu.....najua yuko hapa kila wakati.....ana mdomu umejaa strawberry sijui, sijui nini yaani full utamu...BelindaJacob mama kama unanisikia kilio changu.....
Sura nzuri kama yangu...macho ya kurembua bila kulazimisha...sauti nzuri zaidi kinanda...pesa...ukareeee na jina kubwa!sjui kwanini kwenye sredi hii quote zinagoma?Lizzy:toa sababu 2 za tamaa, adhawaizi una kesi ya kujibu
Sura nzuri kama yangu...macho ya kurembua bila kulazimisha...sauti nzuri zaidi kinanda...pesa...ukareeee na jina kubwa!
Khaaaa....unaona ulivyo na tamaa!!!?tobaaaa! ramani ya suruali yangu imebadilika ghafla! (Mungu epusha mbali hii sredi isje ikapelekwa jukwaa la wakubwa).
hiyo sio tamaa bana ni nature! hivi umesahau kwenye baiolojia wanasema kila sekunde kunatengezwa sperms millioni something, sasa unadhani kama hawajapungua kupitia posts za lizzy si watazeeka halaf wasababishe cancer? think! Lizzy thinkKhaaaa....unaona ulivyo na tamaa!!!?
Gosh Kloro....ngoja nikalale sasa kabla sijahamishia bifu pande hizi.Ila nakuasa TAMAA MBAYA!!!Alafu nilifeli chekechea kwahiyo bailojia hua nasikia tu mtaani!!hiyo sio tamaa bana ni nature! hivi umesahau kwenye baiolojia wanasema kila sekunde kunatengezwa sperms millioni something, sasa unadhani kama hawajapungua kupitia posts za lizzy si watazeeka halaf wasababishe cancer? think! Lizzy think
namimi nalog out! usjali nitakusomesha baiolojia kwa vitendo! vere soonGosh Kloro....ngoja nikalale sasa kabla sijahamishia bifu pande hizi.Ila nakuasa TAMAA MBAYA!!!Alafu nilifeli chekechea kwahiyo bailojia hua nasikia tu mtaani!!
Naona umechoka kupumua bure! Nitakupa uhamisho wa bure kwenda ahera!!! Yani mke wangu BJ unamshobokea tena kwa kutangaza kabisa? Khakiya Mungu niombe radhi kijana!!WanaJF huyu mtu naomba contact zake tuuuuu.....najua yuko hapa kila wakati.....ana mdomu umejaa strawberry sijui, sijui nini yaani full utamu...BelindaJacob mama kama unanisikia kilio changu.....
Mkuu komaa ucchoke, kifaa kipo pouwa nadhan mtaendana teh! teh! Klorokwin twampa Lizzy!WanaJF huyu mtu naomba contact zake tuuuuu.....najua yuko hapa kila wakati.....ana mdomu umejaa strawberry sijui, sijui nini yaani full utamu...BelindaJacob mama kama unanisikia kilio changu.....
Tamaa kama yako na Magulu zina sababu.....Embu niquote kabla sijakuombea ban!!!!