Umeshindwa kuruka mto...

WISDOM SEEDS

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
841
282
Siku moja Padre mmoja na sister walikuwa safarini, usiku uliwakuta katika mji mmoja wa kigeni hivyo wakalazimika kutafuta mahali pa kujihifadhi ili kutakapokucha waendelee na safari yao. Walitafuta sana lakini wakapata hoteli moja tu iliyokuwa imebaki ambayo kulikuwa na chumba kimoja tu tena chenye kitanda kimoja.

Wakalaza gari yao kwenye fensi na kuamua kulala kwenye chumba hicho huku wakitenganishwa
na mto wa kulalia katikati yao. Asubuhi waliamka mapema sana na kukuta gari yao ikiwa bado
kwenye fensi, geti limefungwa na mlinzi haonekani. Padre kwa kuona wanachelewa, alimwambia sister
kuwa anataka aruke ukuta ili akalifungue geti kwa upande wa pili ambao ilikuwa rahisi kutoka...

Sister akasonya, "Nyoo ulishindwa kuruka mto jana usiku utaweza kuruka ukuta?"
 
Siku moja Padre mmoja na sister walikuwa safarini, usiku uliwakuta katika mji mmoja wa kigenihivyo wakalazimika kutafuta mahali pa kujihifadhi ili kutakapokucha waendelee na safari yao.Walitafuta sana lakini wakapata hoteli moja tu iliyokuwa imebaki ambayo kulikuwa na chumba kimoja tu tena chenye kitanda kimoja.Wakalaza gari yao kwenye fensi na kuamua kulala kwenye chumba hicho huku wakitenganishwa na mto wa kulalia katikati yao. Asubuhi waliamka mapema sana na kukuta gari yao ikiwa badokwenye fensi, geti limefungwa na mlinzi haonekani. Padre kwa kuona wanachelewa, alimwambia sister kuwa anataka aruke ukuta ili akalifungue geti kwa upande wa pili ambao ilikuwa rahisi kutoka...Sister akasonya, "Nyoo ulishindwa kuruka mto jana usiku utaweza kuruka ukuta?"
Ahahahahahaha!!
 
Du kiukweli iko njema sana, so after that padre guess aliairisha kujump na kumwambia sister warudi ndani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom