Baba na mama wa mapacha watatu tunawataka nao

Baba na mama wa mapacha watatu tunawataka nao

Ntemi Kazwile

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2010
Posts
2,182
Reaction score
309
Baada ya Rostam kuachia ngazi sasa ni zamu ya mapacha wengine nao kufuata nyayo zake, baada ya hapo mama na baba yao nao wafuate, baada ya hapo wadogo zao na wajomba zao pia wafuate pia.

Kama ningekuwa mrithi wa Shekh Yahya ningeitisha mkutano wa waandishi wa habari kutangaza kuwa kufikia mwaka 2015 chama kimoja kikongwe hapa nchini kitakuwa kimesambaratika, katibu wake mwenezi na katibu mkuu watakuwa wamefukuzwa kazi ifikapo 6 February 2012.... na nina uhakika yote haya yatatokea
 
Na marafiki wa mapacha watatu pia tunawaka na wote wapelekwe kwenye ile mahakama ya kimataifa wakajibu hoja zetu.
 
Back
Top Bottom