John W. Mlacha
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 3,504
- 1,341
poleni na maisha
mbona hivyo tena? mtu akisalimia kalewa?Umelewa???!
Mume yupi?!Yule nliyemchukua kwako....?!Mbona pombe kaacha siku nyingi!!mbona hivyo tena? mtu akisalimia kalewa?au kwa vile mmeo mlevi basi ndio unafikiri watu wote walevi?
bibie za masikuChit chat....
mzuxxxxxxxpoaaaaaaa vp wewe
wewe utasutwa na matarumbeta. hasira zako ziishie huko hukoMume yupi?!Yule nliyemchukua kwako....?!Mbona pombe kaacha siku nyingi!!
umesahau na sare ya kanga..wewe utasutwa na matarumbeta. hasira zako ziishie huko huko
Huko uswahilini kwenu sijawahi hata kutia mguu kwahiyo labda unifuate nilipo na matarumbeta yako...!wewe utasutwa na matarumbeta. hasira zako ziishie huko huko
haluuuuuuu,nilikuwa nimesahau.umesahau na sare ya kanga..
mimi ni mgombea ubunge 2015.ila nakaa uswahilini ndio.kwa hiyo ww ni ni matawi ya juu?Huko uswahilini kwenu sijawahi hata kutia mguu kwahiyo labda unifuate nilipo na matarumbeta yako...!
Hhahhahha....eti mgombea ubunge!!Kwa hali hii niionayo hapa????Mbona naionea huruma nchi yangu!mimi ni mgombea ubunge 2015.ila nakaa uswahilini ndio.kwa hiyo ww ni ni matawi ya juu?
kwani tatizo liko wapi? nina uhakika itakuwa sio jimbo lako. so relaxHhahhahha....eti mgombea ubunge!!Kwa hali hii niionayo hapa????Mbona naionea huruma nchi yangu!
post zingine bwana.Thread nyingine bwana....
Kwani lisipokua jimbo langu ndo nifurahie likipelekwa kuzimu!!!?kwani tatizo liko wapi? nina uhakika itakuwa sio jimbo lako. so relax
sasa hvii nakuona unavyopewa good time na magamba ..umeme full time.sema watu kama nyinyi baba zenu ni mafisadiKwani lisipokua jimbo langu ndo nifurahie likipelekwa kuzimu!!!?
Hahahaha,...mbona mwenzio nafurahia mwanga wa mshumaa saa hizi!Ufisadi nausikiaga tu!sasa hvii nakuona unavyopewa good time na magamba ..umeme full time.sema watu kama nyinyi baba zenu ni mafisadi