Mpendwa
Member
- Jun 9, 2011
- 56
- 11
Mwenzenu nimejaribu kufikiri kwa undani juu ya matamshi ya ndg samwel 6, nimekubaliana na ule msemo wa kiswahili unaosema 'Ukiona manyoya, ujue ameliwa'. Sasa nimeona manyoya na ku conclude kuwa huyu mheshimiwa ameliwa na kuchakachuliwa kabisa. amesahau kuwa na yeye alichoshwa na ccm na kutaka kuanzisha ccj, leo amekosa usajili anajifanya ana uchungu na ccm kwa kuitetea na kuita wapinzani wanafiki!! Kitu kingine nilishangaa na kuona these people are too political - ccm based@! Yeye anasema 'unajua sisi wabunge wa ccm tunapaswa kuwapuuza hawa wapinzani!! Suala la kitaifa unaingiza u ccm, are you mad? Niambieni wana JF mnalionaje hili suala?? Asanteni