Malecela arudi nyumbani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Malecela arudi nyumbani

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by nitasemaukweli, Jul 14, 2011.

 1. n

  nitasemaukweli Member

  #1
  Jul 14, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Tumesikia kwa watoto wake na hata vijukuu vyao, hilo limerudi Dar. Majuzi tu tulisikia oh hakuwa anaumwa oh alikuwa kaenda kutibiwa na hakuwa hospitalini. Alielipia hizo bills huko nje ya nchi ni wananchi kama kawaida ni mimi na wewe. Sasa tusubiri fisadi lipi litaondoka tena na kwenda UK, India au US kupata matibabu kwani wao na maisha yao ni bora zaidi. kama elimu wanavyosomesha nje huku wakisema vijana someni kwa bidiiii hapa hapa Tanzania. Hii ndio culture na traditions ndani ya itikadi za ccm. When do these criminals going to stop these fraud? Thats why they are seeking posho na gharama za juu kwa migongo ya watanzania.

  Hebu turudi na story fake ya Rostam, wakati malecela, mkapa, lowassa, chenge, kikwete bado wapo wanaruka mitaani na assets za wananchi. Wanakwenda lini jela hawa, atuulizi lini wanarudisha kadi za kigwanda au kadi za kihuni.

  Hakuna kurudi nyuma na mpaka kieleweke hata watoto wao wakija na dharau zao.

  Kitu nimekiona ni kwamba watoto wa mafisadi bado wanasikiliza stories za vitandani ili waende kulala na sisi hatuna muda wa kuwamsha, waacheni jamani ati.

  Malecela apona, arejea Dar
   
 2. M

  Marytina JF-Expert Member

  #2
  Jul 14, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Hili ni bora lilikosa urais manake ningetuvuruga kuliko Kikwete.
  Liachia vyeo CCM liporwe hata kadi
   
 3. g

  geophysics JF-Expert Member

  #3
  Jul 14, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Umepost hii kufanya unafiki...... Na sio wote walio haba jamvini watakubaliana na wewe..... CRAP.
   
 4. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #4
  Jul 14, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Tumshukuru Mungu mtanzania mwenzetu anaendelea vyema!
   
 5. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #5
  Jul 14, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0

  Hii ni India au Tanzania?
   
 6. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #6
  Jul 14, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,070
  Likes Received: 6,533
  Trophy Points: 280
  no comments.
   
Loading...