ni msiba kwa wana SISIEM kuona kwamba waliomtuma kujibu hoja zao mitandaoni kula ban..................nadhani ataenda kwenye blog ya MS wakabadilishane upuuzi wao wenyewe.
pumzika kwa amani.
jana...
Bw. Nehemia Mchechu
Pengine inatafsiriwa kana kwamba Bw. Nehemia Mchechu, Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba (NHC) ameonekana kana kwamba anajitafutia umaarufu wa haraka katika nyaja ya uongozi na...
Wadau naombeni mniwie radhi, sijui ndio maana nauliza.
Hivi, kwenye vyombo vya usafiri si lazima kuwe na vyombo vya tahadhari?, hili najua kila mtu anajua. Kwenye magari kuna mikanda, kwenye ndege...
Pengine waliobuni wanaume kuvaa magwanda meusi siku ya harusi kwa wanachadema
nimeona na mabinti sasa zamu yenu jamani msikubali kuumia hata kama mumeo ndio
anakununulia ujue baada ya ndoa...
A tourist asked a boat guy Do u know Biology, Psychology, Geography, Geology and Criminology? The boat guy said NO....The tourist then said: What the hell u know on the face of this earth? U will...
A tourist asked a boat guy Do u know Biology, Psychology, Geography, Geology and Criminology? The boat guy said NO....The tourist then said: What the hell u know on the face of this earth? U will...
A tourist asked a boat guy Do u know Biology, Psychology, Geography,
Geology
and Criminology? The boat guy said NO....The tourist then said: What the
hell u know on the face of this earth? U will...
inawezekana ishawafikia siku nyingi, si mbaya tukijikumbusha kwa wale ambao wameisahau.
An engineer proposing to a lady.................
"Hi dear!
Yesterday, I was passing by your rectangular...
Habari zenu wanaJF, pia napenda kuwakumbusha tuendelee kuwa watulivu katika kipindi hiki cha majonzi. Mbele yenu nauliza matumizi, umuhimu, na faida za picha za viongozi katika ofisi za...
A man escapes from prison where he has been for 15 years. He breaks into a house to look for money and guns and finds a young couple in bed.
He orders the guy out of bed and ties him to a chair...
teacher: if i gave u 2 rabbits in the mornin, 2 in da afternun n 2 at 9t hw many rabbits u'll be havin pupil:7 rabbits teacher: why r u stupid, if i gave u 2 biskuits in da mornin 2 in da noon n 2...
Mmasai
aliamua kwenda kutembea jijini DAR..baada ya kukaa
kwa muda wa mwezi mmoja hivi alimiss sana pombe
yake na hakujua mahali pa kuipata...,siku moja
akaamua kwenda Bar Maeneo ya kinondoni...
Mlachake (JF name) anadhani nyanya ni matunda (FRUIT)!
Nyanya si tunda, ni mboga (SALAD)! Mbegu za mboga zinatafunika na kumezwa. Jaribu mbegu za chungwa halafu uje unipe habari.
Mambo ni aje?
Nimekukumbuka ewe rafiki mwema mweledi. Mvumilivu asiyeua inzi kwa rungu. Anayejua kuwa leo ni kesho ya jana. Asiyeamini katika hali ya kumgoja chini aliyeko juu. Wewe unayejua...