Popote nipo....


Mtalingolo

Mtalingolo

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2011
Messages
2,186
Likes
17
Points
135
Age
29
Mtalingolo

Mtalingolo

JF-Expert Member
Joined Aug 4, 2011
2,186 17 135
Kuanzia UBUNGO nipo, MWANANYAMALA, KIGAMBONI mpaka UKONGA nipo..,
TEMEKE ,MANZESE, KULASINI nipo,,,
POSTA, MIKOCHENI, mpaka ILALA nipo.,,
KIMANZICHANA nipo,
KONGOWE nipo,,
MAILI MOJA, KIBAHA nipo....
KARIAKOO nipo,,

Sijasahau MIKOANI huko kote nipo, IRINGA nipo, KIHESA, MSHINDO mpaka MWANGATA nipo.
MKIMBIZI nipo, GANGILONGA, TUMAINI, IPOGOLO nipo, KIBWABWA nipo, MTWIVILA, KIDAMALI mpaka KALENGA nipo.

MBEYA nipo, MOROGORO nipo, MWANZA, MUSOMA, TANGA, MTWARA. Nipo,

Mpaka hapo ulipo Mimi NIPO,
chukua taadhari kwani bado nipo~

TUNZA, LINDA, THAMINI UTU WAKO, ukimwi unaua,
 

Forum statistics

Threads 1,237,931
Members 475,774
Posts 29,306,993