ukimwona mwanaume..

ukimwona mwanaume..

NG'ADA

Senior Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
152
Reaction score
15
ukimwona mwanaume kafunga kanga ya mama yako...jua huyo ndo babako!!
 
ukimwona mwanaume kafunga kanga ya mama yako...jua huyo ndo babako!!
Utajuaje ni ya mama yako?khanga si zinafanana?Kiwanda kikubwa cha nguo kwa siku kinazalisha mita lakimoja(MT100,000) Za khanga za rangi sawa na zinazofanana ambazo ni sawa na pair 30,000.Kwa hiyo kujua ya mama yako ni kazi kweli kweli labda uwikee stika maalum..teeeehh
 
duh kwe kwe kwe kwee.............................!!! bangi imezidi hapa
 
Utajuaje ni ya mama yako?khanga si zinafanana?Kiwanda kikubwa cha nguo kwa siku kinazalisha mita lakimoja(MT100,000) Za khanga za rangi sawa na zinazofanana ambazo ni sawa na pair 30,000.Kwa hiyo kujua ya mama yako ni kazi kweli kweli labda uwikee stika maalum..teeeehh
Na kweli, kuna uwezekana mwanaume mmoja akawa baba yetu woooteeee ambao mama zetu wanavaa kanga zinazofanana
 
Hii haina mantiki sana ila inachekesha. Asante.
 
Nikishamjua kuwa ni baba yangu nifanyeje sasa.
 
mkiniona nnevaa khanga zenu msishangae, eeh, mjue ndo vile tena, eeh. aah nini, ndiyo hivyo hivyo.
 
lol! sijui umefikiria nini? ila hata wa kambo si ni baba? tutaacha kuwaita 'uncle'
 
Kwa hali ya hewa hii, ukipata cha msumbiji lazima uanze kuwaza mambo yasiyowazika.
 
kweli kazi unayo..mpk kanga zote za mama yko unazijua!!!!
 
Back
Top Bottom