Nyanya si Tunda

Homer

Senior Member
May 26, 2011
100
170
Mlachake (JF name) anadhani nyanya ni matunda (FRUIT)!
Nyanya si tunda, ni mboga (SALAD)! Mbegu za mboga zinatafunika na kumezwa. Jaribu mbegu za chungwa halafu uje unipe habari.

 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom