Wanawake wa chadema daini magwanda ya kuvaa kwenye harusi zenu achaneni na mashela | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake wa chadema daini magwanda ya kuvaa kwenye harusi zenu achaneni na mashela

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Pdidy, Sep 13, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,512
  Likes Received: 5,744
  Trophy Points: 280
  Pengine waliobuni wanaume kuvaa magwanda meusi siku ya harusi kwa wanachadema
  nimeona na mabinti sasa zamu yenu jamani msikubali kuumia hata kama mumeo ndio
  anakununulia ujue baada ya ndoa mnakalia unga wa mhogo kisa nguo ya harusi

  je amwoni wakati muafaka sasas kudai na nyie watengeneze nguo za harusi mtakazovaa
  kama wanavyovaa magwanda wanachadema siku za harusi zenu..kama wanasema mume n mke
  ni kitu kimoja kwa nini mumeo avae gwanda we usivae jamani loh...

  Mustafa hasaanali tunaomba utusaidie kutubunia hili vazi kabla ya 2015 kuingia magogoni
   
 2. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,377
  Trophy Points: 280
  ^ ...LMFAO! #team-->Masaburi!
   
 3. escober

  escober JF-Expert Member

  #3
  Sep 13, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 391
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  masaburi at its end of thinking
   
 4. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #4
  Sep 14, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Yaani siku ya Harusi mwanamke avae Gwanda? Akili zingine bana
   
 5. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #5
  Sep 14, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  crap craaap bin puuumba
   
Loading...