wanataka pesa ya kuwalipa mishahara watumishi wao. life jacket ni wajibu wa mmiliki yeyote wa chombo cha usafiri, na kama chombo kikionekana hakina hakipaswi kufanya safari. Sasa whre does clouds fit in all this?
hv hakuna regulators wa masuala ya kuchangisha wananchi?? Naona hawa clouds wanatumia hii nafasi kujikusanyia michango-sijui nani ana-audit hiyo michango??? Hata uchunguzi wa ajali haujaisha kujulikana suala ni lf jacket, uchakavu, au hizo lf jacket kufungiwa??wao washakurupuka kuanzisha mchango wa lf jacket, kama kweli wanania ya kutoa si wakagawe fedha kwa wafiwa kuliko kujipatia fedha kwa mgongo wa wafiwa. Voda nao vivo hivyo hata kodi hawalipi wanakazana kuchangisha fedha. The entrepreneuship notion is overrated
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.