Jamaa mmoja alikuwa na duka la kuuza dawa za binadamu(pharmacy).Siku moja,njemba moja ilifika ikaomba ipewe Dume pakti tatu.Baada ya kupewa zile pakti tatu,ile njemba ikalipa na kuondoka kwa...
Jamani mwenzeni leo ni birthday/siku yangu ya kuzaliwa. Nashukuru kwa kuwa nami karibu, kwa ushauri na mafunzo mengi mnipatiayo kupitia Jamvi letu hili. Nafurahi sana kwa ukaribu na ukarimu wenu...
Salaam wana JF
Wakati nikiwa mdogo nilipenda sana kucheza kombolela i.e Mchezo wa kujificha na kuanza kutafutana.
Nikiukumbuka huu mchezo natamani sana nirudi kuwa kama mtoto.
Je wewe utotoni...
Tangu ajali hii ya huzuni itokee,nimekuwa nikiingiwa na mawazo potofu kila siku,sasa nawaza kuwa walinusurika walikuwa ni wataalamu wa maji kwa maana kwa hali ya maji yenye mkondo wenye nguvu...
There were three men who were lost in the forest.They were then captured by cannibals.The cannibal king then told the prisoners that they could live if they pass the trial.First step of the trial...
Athumani:
Alimkosea nini Mungu mpaka ikaibuka huu msemo: MUNGU SI ATHUMANI
Mtemakuni
Huyu alipata adhabu gani mpaka huu mkwala ukaibuliwa "UTAKIONA CHA MTEMAKUNI"
Sikukuu ya Iddi
Ina nini hasa...
There appeared a question in biology examination asking "Which mosquito transmits malaria parasites to people?".
One of the student could just remember that the gender of that mosquito is...
Kuna mwenda wazimu mmoja alipita kwa spid ya ajabu akiwa uchi porini wale wanyama wote wakala kona fisi akamfuata simba akamwambia vp wewe si mfalme wa pori simba akamjibu namshangaa huyu mmyama...
HOME INTERNAL MEMO
FROM : MOTHER
TO : ALL DEPENDANTS AND RELATIVES
CC : FATHER
DATE : TODAY
ECONOMIC SITUATION, HIGH FOOD COST AND GROUND RULES
Due to the current economic situation...
Kuna skuli nilikuwa nafundisha baada ya kumaliza form six. Nilikuwa nafundisha Physics&Mathematics. Nilikuwa mwl mdogo kuliko wote pale shule. Pia nilikuwa karibu sana na wanafunzi. Mabinti...
Kuna mtoto mmoja hv alichelewa kuongea had anafka miaka 8 hakuwah kuongea..cku moja hv akiwa na miaka 8 na miezi kama 7 ivi akaongea neno moja tu "babu" bac baada ya cku tatu yule babu akafa..cku...
Hivi kwanini gari za polisi zinaendelea kuitwa 'difenda' huku nyingi siku hizi zikiwa Landcruiser ?
Hivi kwanini vituo vya mafuta vinaitwa ''sheli' huku tukifahamu kampuni ya Shell haipo nchi ...
Kuna rafiki yangu anafanya kazi Umoja wa Mataifa alienda mogadishu,Somalia kikazi kwa siku 3 karudi juzi anasema pamoja na vita vya miaka 20 muda wote alipokuwepo Mogadishu umeme ulipatikana kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.