Tukio la aibu! Sintolisahau! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tukio la aibu! Sintolisahau!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mzee, Sep 10, 2011.

1. Mzee

Mzee JF-Expert Member

#1
Sep 10, 2011
Joined: Feb 2, 2011
Messages: 12,973
Likes Received: 2,967
Trophy Points: 280
Kuna skuli nilikuwa nafundisha baada ya kumaliza form six. Nilikuwa nafundisha Physics&Mathematics. Nilikuwa mwl mdogo kuliko wote pale shule. Pia nilikuwa karibu sana na wanafunzi. Mabinti walinipenda sana, nami niliwapokea na kuwapa ushauri kama wadogo zangu.

The way nilivyokuwa nawachukulia, walihisi nimesha fall in love, kila mmoja akawa anatangaza kivyake, si mabinti wote, ila mabinti wengi wa kidato cha pili na cha tatu walinizoea sana. Wapo waliodiriki hata kuniletea vizawadi, kama miwa na matunda, kwakuwa nilikuwa nakaa mwenyewe nyumba za shule nilizipokea.

Kuna siku wanafunzi wawili wa kidato cha pili walipigana, kisa mwl Ibwe,... Kesho yake wazazi wakaja shule kutatua matatizo ya watoto wao.
Lilikuwa bonge la aibu kuanzia shule na hata mtaani. Sintolisahau.

Wewe Mwana Jf mwenzangu tukio gani la aibu hautolisahau?

2. Shine

Shine JF-Expert Member

#2
Sep 10, 2011
Joined: Feb 5, 2011
Messages: 11,514
Likes Received: 16
Trophy Points: 0
Kuna kitu hapo tuweke wazi

3. B

Bulah JF-Expert Member

#3
Sep 10, 2011
Joined: Aug 19, 2011
Messages: 230
Likes Received: 5
Trophy Points: 35
Yalinikuta kama yako kabisa... Mabinti wa 4m 2 na 4m 3 tabu sana kuwafundisha,

4. j

jigili JF-Expert Member

#4
Sep 10, 2011
Joined: Sep 9, 2011
Messages: 248
Likes Received: 126
Trophy Points: 60
Sintosahau kuna siku walikuja kwangu kwa mara ya kwanza mama mkwe,Shemeji zangu 2 na shangazi yake wife,Basi baada ya maongezi ya siku nzima waliaga kwa kuwa wanarudi walikofikia nyumbani kwa mjomba wa mke wangu! Mzee niliamua kuwasindikiza nikiwa nimepiga kanzu, pamoja nami kulikuwa na mama mzazi na wadogo zangu wawili ambao tuliungana kuwasindikiza wageni.

Baada ya kufika kituo cha daladala niliamua kuwachukulia taxi badala ya daladala niliwaomba wanisubiri kidogo mzee kimya kimya nilienda kuelewana na dereva taxi ng'ambo ya pili ya barabara alikubali kuwapeleka kwa Tsh 15,000/- Fasta nikaja kuwashtua wapande, wakati wanaanza kupanda niliona muda muafaka wa kumalizana na dereva!

Mzee ile kuzama kwenye kanzu kumbe mfuko umetoboka pesa hakuna, natizama pensi ya ndani nikaibuka na pesa pungufu 14,000/- ndugu niliokuwa nao wote hawana hata sentano! Du mwanaume nikamvaa fasta dereva dirishani nikamnong'oneza kuwa nimedondosha pesa na pesa iliyobaki ipo pungufu, bahati nzuri alikuwa muelewana akapokea la sivyo angeanza kubisha ingekuwa balaa mzee sikuta hata kujua kama wamenishtukia au vipi taratibu nilirudi home ilikuwa soo!

5. Shine

Shine JF-Expert Member

#5
Sep 10, 2011
Joined: Feb 5, 2011
Messages: 11,514
Likes Received: 16
Trophy Points: 0

6. Shine

Shine JF-Expert Member

#6
Sep 10, 2011
Joined: Feb 5, 2011
Messages: 11,514
Likes Received: 16
Trophy Points: 0
Du almanusura disco lingeingia mmasai

7. Mzee

Mzee JF-Expert Member

#7
Sep 10, 2011
Joined: Feb 2, 2011
Messages: 12,973
Likes Received: 2,967
Trophy Points: 280
Kitu gani ndugu.

8. mikatabafeki

mikatabafeki JF-Expert Member

#8
Sep 10, 2011
Joined: Dec 29, 2010
Messages: 12,837
Likes Received: 2,101
Trophy Points: 280
kuna uwalakini hapa..............sidhani ka hadi unaondoka hapo shuleni kuna mtto alinusurika

9. Bujibuji

Bujibuji JF-Expert Member

#9
Sep 10, 2011
Joined: Feb 4, 2009
Messages: 35,451
Likes Received: 22,403
Trophy Points: 280
Mi nilimpa mimba mwalimu mkuu wa shule niliyokuwa ninasoma. Mimba ilipofikisha miezi nane na nusu mwalimu mkuu akawa anawaaga wanafunzi na walimu. Hapo akanitambulisha rasmi kuwa mimi ndiye niliyemtundika kibendi, nikawa mdogo ile mbaya, hadi leo nataniwa, kuanzia mwaka 1991 nlipokuwa nasoma Majengo Juu Mbeya

10. Mhadzabe

Mhadzabe JF-Expert Member

#10
Sep 10, 2011
Joined: May 20, 2009
Messages: 1,657
Likes Received: 717
Trophy Points: 280

Lazima ushangae mana hujawahi kushika chaki!.....kuna makubwa zaidi ya hayo!

11. Vin Diesel

Vin Diesel JF Gold Member

#11
Sep 10, 2011
Joined: Mar 1, 2011
Messages: 8,402
Likes Received: 738
Trophy Points: 280

Mkuu,ina maana ulimpa mimba mwalimu wako wakati upo primary? hebu iweke vizuri hii kitu.

12. Bujibuji

Bujibuji JF-Expert Member

#12
Sep 10, 2011
Joined: Feb 4, 2009
Messages: 35,451
Likes Received: 22,403
Trophy Points: 280

Si unajua sie wengine primary tulimaliza tukiwa na zaidi ya miaka16

13. chapaa

chapaa JF-Expert Member

#13
Sep 10, 2011
Joined: Feb 19, 2008
Messages: 2,355
Likes Received: 3
Trophy Points: 135
Ama kweli hii ndo JF jokes!!!
mkuu kumbe we ******!!!

14. mikatabafeki

mikatabafeki JF-Expert Member

#14
Sep 10, 2011
Joined: Dec 29, 2010
Messages: 12,837
Likes Received: 2,101
Trophy Points: 280
mkuu mbona chaki nimeshika mara kibao tu,primary had sec sema sijawah kua mwl,sijui chaki ipi unayoizungumzia

15. Mzee

Mzee JF-Expert Member

#15
Sep 11, 2011
Joined: Feb 2, 2011
Messages: 12,973
Likes Received: 2,967
Trophy Points: 280

sikuwafanya kitu.

16. Nyakageni

Nyakageni JF-Expert Member

#16
Sep 11, 2011
Joined: Feb 1, 2011
Messages: 13,962
Likes Received: 1,284
Trophy Points: 280

FATAKI. Mnapenda vi mark 2 wakati mafuso yako mtaani.

17. BobKinguti

BobKinguti JF-Expert Member

#17
Sep 11, 2011
Joined: Mar 18, 2011
Messages: 222
Likes Received: 3
Trophy Points: 35
Duh imekaa vibaya!!!!! Is it primary or secondary school?

18. Kiraka

Kiraka JF-Expert Member

#18
Sep 11, 2011
Joined: Feb 1, 2010
Messages: 2,566
Likes Received: 625
Trophy Points: 280
Tulikuwa kwenye management meeting, MD wetu ni mama, sasa ghafla akapiga chafya na kuanza kukohoa, bahati mbaya akajamba kwa sauti ambayo ilisikika na wote, mzee yaani kama dakika mbili tatu zilipotea kila mtu kachanganyikiwa, sitasahu ile issue , yaani mama aliishiwa confo kabisa. Sema tunashukuru kuna HR Manager mtu mzima mmoja aliingilia kati na kuendeleza kikao kwa kuchangia akaua soo kia aina. Acha bana mambo haya...

19. ARV

ARV JF-Expert Member

#19
Sep 11, 2011
Joined: Sep 6, 2011
Messages: 1,318
Likes Received: 313
Trophy Points: 180

SIDHANI KAMA HII NI YA KWELI NADHANI NI STORY TU,MIMBA MWANAFUNZI WA PRIMARY?HALAFU MBAYA KWA HEADTEACHER?HALAFU MBAYA ZAIDI AKAKUTAMBULISHA MBELE YA WALIMU NA WANAFUNZI?sijui lakini!

20. Mzee

Mzee JF-Expert Member

#20
Sep 11, 2011
Joined: Feb 2, 2011
Messages: 12,973
Likes Received: 2,967
Trophy Points: 280

hapa kuna walakini.

Loading...