leta tatizo lako au kesi tata hapa(itatatuliwa)

Al shabab

Member
May 21, 2011
71
6
mwenye kesi mbaya,tatizo lolote ambalo unaona linahitaji msaada,kazi,na mengineyo,ni pm,eleza shida yako alafu nitakwambia nini tufanye,serious.usilete utani.

Al shabab

Member
May 21, 2011
71
6
ungeleta tatizo ningekusaidia lakini kwasababu watanzania mmefundishwa kuuliza maswali tu na mimi nakujibu,HAPANA,very simple!

AshaDii

Platinum Member
Apr 16, 2011
16,219
17,980
Mie nimeona nisitumie PM maana yangu haifanyi kazi... Nina tatizo linalohusu kazi..... Kila siku inatakiwa niende kazini toka alfajiri mpaka jioni from Mon to Sun.... Ni jinsi gani naweza rekebisha nisiende weekend bila kumkwaza Boss??

Apollo

JF-Expert Member
May 26, 2011
4,902
3,079
Hiyo jina hilo lina utata... Sio unafanya 'ushehe-yahaya' wewe? Haya, mimi nahitaji mpenzi wa kike.. Awe mzuri tabia na muonekano. :)

Al shabab

Member
May 21, 2011
71
6
kuweni serious,
Hapa nataka nisikie,ninakesi ya wizi wa pesa nyingi,na kesho kutwa tunaenda mahakamani,au,nimempiga boss na nataka nirudi kazini,au,nina kesi na sina dalili ya kuchomoka,au kazini kuna nafasi naitaka ila kuna mtu nagombania naye,au ndugu yangu yuko selo na anasubiri hukumu,au,sipati pesa na nikipata haikai,na mengine magumu zaidi ya hayo.kuweni serious,me nimeyaona,na sioni tabu kumsaidia mtu naye akatoe ushuhuda.mkizembea haya.

Al shabab

Member
May 21, 2011
71
6
Hiyo jina hilo lina utata... Sio unafanya 'ushehe-yahaya' wewe? Haya, mimi nahitaji mpenzi wa kike.. Awe mzuri tabia na muonekano.

Apollo

JF-Expert Member
May 26, 2011
4,902
3,079
kuweni serious,

Hapa nataka nisikie,ninakesi ya wizi wa pesa nyingi,na kesho kutwa tunaenda mahakamani,au,nimempiga boss na nataka nirudi kazini,au,nina kesi na sina dalili ya kuchomoka,au kazini kuna nafasi naitaka ila kuna mtu nagombania naye,au ndugu yangu yuko selo na anasubiri hukumu,au,sipati pesa na nikipata haikai,na mengine magumu zaidi ya hayo.kuweni serious,me nimeyaona,na sioni tabu kumsaidia mtu naye akatoe ushuhuda.mkizembea haya.
umenigusa hapo kwenye 'sipati pesa nikipata inapotea'

mdeki

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
3,301
463
mimimnadaiwa na jirani yangu, napata wakati mgumu sana nisaidie jinsi ya kumsahaulisha sina pesa kwa sasa

Al shabab

Member
May 21, 2011
71
6
kumbe watanzania hawana matatizo,ningesema kilichonitokea mpaka nikataka nanyie niwapeleke hapo mahala wote mngeniita tapeli.bakini na hicho kidogo mnachokijua.nipo tanga.

Mwendabure

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
2,138
1,029
kuweni serious,

Hapa nataka nisikie,ninakesi ya wizi wa pesa nyingi,na kesho kutwa tunaenda mahakamani,au,nimempiga boss na nataka nirudi kazini,au,nina kesi na sina dalili ya kuchomoka,au kazini kuna nafasi naitaka ila kuna mtu nagombania naye,au ndugu yangu yuko selo na anasubiri hukumu,au,sipati pesa na nikipata haikai,na mengine magumu zaidi ya hayo.kuweni serious,me nimeyaona,na sioni tabu kumsaidia mtu naye akatoe ushuhuda.mkizembea haya.

Mkuu kwa maelezo haya tu! Wenye akili zao watakuwa wameelewa we ni mtu wa aina gani na umekuja hapa jamvini kwa lengo gani. Kifupi we ni mganga muaguaji na mpiga ramli. Bayana na dhahiri kutokana na maelezo yako! Watakufuata vilaza wenzio usihofu.

lolyz

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
338
197
kazi kwelikweli mpka huku jamani?mmeona mabango ya barabarani hamuwapati au?????siwezi leta tatizo langu kwako sababu tiba yako ni temp tu lol !!!!

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom