Walionusurika ajali ya meli watalaamu wa maji?!!!!

msani

JF-Expert Member
Jun 13, 2011
1,797
1,181
Tangu ajali hii ya huzuni itokee,nimekuwa nikiingiwa na mawazo potofu kila siku,sasa nawaza kuwa walinusurika walikuwa ni wataalamu wa maji kwa maana kwa hali ya maji yenye mkondo wenye nguvu halfu watu 800 wakazama saa 7 usiku na wakaokolewa 600 saa 2 asubuhi takribani masaa 7 majini,pia ikumbukwe humo walikuwemo watoto,wamama,wazee na watu wenye uzito mkubwa(wenye vitambi),zaidi ya hapo watoto huwa hawaandikwi.
basi kama serikali inajisifu kwa kuwahi kuwaokoa waliokuwemo kwenye meli,basi nadhani waliokuwemo walikuwa ni mabaharia tu ama watu wenye uzoefu wa maji ya baharini na waliofariki ni baadhi ya wachache ambao hawakuwa na utalaam wa maji.
kama siyo hivyo basi idadi ya watu waliokufa ni wengi sana
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom