Jamani Nauliza Nipate Kujua..... Ilikuwaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani Nauliza Nipate Kujua..... Ilikuwaje?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Asprin, Jun 17, 2011.

 1. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,977
  Likes Received: 23,681
  Trophy Points: 280
  Athumani:
  Alimkosea nini Mungu mpaka ikaibuka huu msemo: MUNGU SI ATHUMANI

  Mtemakuni
  Huyu alipata adhabu gani mpaka huu mkwala ukaibuliwa "UTAKIONA CHA MTEMAKUNI"

  Sikukuu ya Iddi
  Ina nini hasa mpaka wakaidi ndo inakuwa kimbilio lao "MKAIDI HAFAIDI MPAKA SIKU YA IDDI"

  Babu amejuiliza amekosa majibu.
  Hebu msaidieni majibu apate cha kulonga na wazee wenzake kaunta ya juu Ijumaa hii wakati akigida Castle Milk Stout ya baridi kwenye glasi ya moto, iliyochemshwa.

  Afu nawatakieni Wikiendi njema:

  Msiendeshe mkiwa mmelewa, msifanye ngono zembe...tumieni kondom, ikibidi mzimeze kabisa kwa ajili ya kinga zaidi endapo mtabusiana na maulimi yenu
   
 2. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2011
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  mhhhh....
   
 3. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #3
  Jun 17, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,977
  Likes Received: 23,681
  Trophy Points: 280
  Mh! ndo nini sasa...toa hoja....ntakuwa sikupi hela ya bia....
   
 4. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #4
  Jun 17, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Wewe nawe bwana maswali magumuuuuuuuuuuuuuuu mie najiweka pembeni niepushe msongamano nimeshindwa na nitapata F leo
   
 5. DaMie

  DaMie JF-Expert Member

  #5
  Jun 17, 2011
  Joined: Mar 24, 2010
  Messages: 686
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Babu usipojua ww, sisi wajukuu tutajuaje?
  Ila ngoja waje wenye kujua wakujulishe babu.
  Ijumaa njema karibu mnadani kutafuna nyama au
  meno hakuna.
   
 6. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #6
  Jun 17, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,977
  Likes Received: 23,681
  Trophy Points: 280
  Na usije KingStaa, sitakununulia Tusker ya Kenya ya baridi wallahi
   
 7. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #7
  Jun 17, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,977
  Likes Received: 23,681
  Trophy Points: 280
  Nna hasira sana na Asumani.... alimtenda nini Mungu wetu? Labda ndo maana mafuta yamepanda bei au?
   
 8. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #8
  Jun 17, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Hakiyani vile Fairway sikuwekei ile supu ya mkia na ulimi wa ng'ombe
   
 9. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #9
  Jun 17, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,977
  Likes Received: 23,681
  Trophy Points: 280
  Ng'ombe mwenyewe dume...nani ale ulimi wa dume mwenzie?...........Hata mkia pia siuhitaji, kwani mi sina? Ng'ombe ana wa nyuma, mi nna wa mbele, nani zaidi?
   
 10. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #10
  Jun 17, 2011
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hahaha hommie naona watu wanapita tu!
   
 11. kisasangwe

  kisasangwe JF-Expert Member

  #11
  Jun 17, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 294
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  mh si unazijua kazi za ATHUMANI KICHWA wazi.... kwa kipochi manyoya....
   
 12. DaMie

  DaMie JF-Expert Member

  #12
  Jun 17, 2011
  Joined: Mar 24, 2010
  Messages: 686
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Popote nimwonapo Asumani leo ana kazi ya kunijibu
  ili nilete jibu mapema, tusije tukashindwa kula nyama
  kisa babu ana hasira
   
 13. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #13
  Jun 17, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  aseee!!!
  makuli wamekutibua leo eeh!!!
  tukapange meza na viti!!
   
 14. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #14
  Jun 17, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  leo usalule au mujini kwa mzee chaula hommie!!
   
 15. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #15
  Jun 17, 2011
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hahaha leo pale pale Hommie!
  Inawezekana athmani alijiita Mungu
   
 16. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #16
  Jun 17, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,977
  Likes Received: 23,681
  Trophy Points: 280
  Hoomie, umemwelewe kisas...(.damn majina mengine bana)....hapa chini?

   
 17. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #17
  Jun 17, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,977
  Likes Received: 23,681
  Trophy Points: 280
  Hebu Fanya hima..........Huyu Asumani inaelekea alitongoza mke wa malaika akajiona kishakuwa Mungu...Asumani bana.....TUPA KULE!

  Aiseee pare pare pa ukweeeee.... Saa ngapi chalii!

  Mtanikuta nshapanga viti.... Inshaalah, Mungu Si Asumani
   
 18. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #18
  Jun 17, 2011
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hahaha hoomi kisasangwe has made my day nimecheka kwa sauti acha! Dah sijui kamaanisha nini!
   
 19. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #19
  Jun 17, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Babu unamaswali magumu kama ansbert ngurumo.
   
 20. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #20
  Jun 17, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,977
  Likes Received: 23,681
  Trophy Points: 280
  Kisasangwe si Asumani, na Asumani si Mungu

  Hommie hivi ni Mtemakuni au Mtema Kuni? Isije ikawa ni baba yake Regia alikiona cha moto akatema kuni
   
Loading...