Its my birthday today!

Gagurito

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2011
Messages
5,606
Points
1,225

Gagurito

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2011
5,606 1,225
Jamani mwenzeni leo ni birthday/siku yangu ya kuzaliwa. Nashukuru kwa kuwa nami karibu, kwa ushauri na mafunzo mengi mnipatiayo kupitia Jamvi letu hili. Nafurahi sana kwa ukaribu na ukarimu wenu kwangu na kwa member wengine wote. Tumwombe Mungu atujalie uzima, afya njema na maisha marefu, Naimani michango yetu itatujenga na kutuboresha zaid. Nawapenda sana ndugu zangu!
 

Keren_Happuch

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Messages
1,879
Points
1,195

Keren_Happuch

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2011
1,879 1,195
Happy Birthday Gagurito! Mungu akupe miaka mingi ya baraka tele na amani.

Sasa ulikuwa tangu asubuhi.............sherehe tutaandaa saa ngapi sasa???!!!
 

Gagurito

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2011
Messages
5,606
Points
1,225

Gagurito

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2011
5,606 1,225
Happy Birthday Gagurito! Mungu akupe miaka mingi ya baraka tele na amani.
Sasa ulikuwa tangu asubuhi.............sherehe tutaandaa saa ngapi sasa???!!!
Mama kanipigia simu kanambia shughuri ya labour ilikua ni saa 9 mchana, party mida ya saa 1 jion, place mtajulishwa. Hahahaha!
 

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Messages
27,357
Points
2,000

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2010
27,357 2,000
jamani mwenzeni leo ni birthday/siku yangu ya kuzaliwa. Nashukuru kwa kuwa nami karibu, kwa ushauri na mafunzo mengi mnipatiayo kupitia jamvi letu hili. Nafurahi sana kwa ukaribu na ukarimu wenu kwangu na kwa member wengine wote. Tumwombe mungu atujalie uzima, afya njema na maisha marefu, naimani michango yetu itatujenga na kutuboresha zaid. Nawapenda sana ndugu zangu!
hapi basdei gu
 

Forum statistics

Threads 1,390,254
Members 528,131
Posts 34,047,333
Top