Vituko Huko porini

Luthar

JF-Expert Member
Jul 29, 2011
519
105
Kuna mwenda wazimu mmoja alipita kwa spid ya ajabu akiwa uchi porini wale wanyama wote wakala kona fisi akamfuata simba akamwambia vp wewe si mfalme wa pori simba akamjibu namshangaa huyu mmyama mpya.mwenye mkia kwa mbele.
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Top Bottom