Usicheke saaana.

uporoto01

JF-Expert Member
May 23, 2008
4,700
1,390
Kuna rafiki yangu anafanya kazi Umoja wa Mataifa alienda mogadishu,Somalia kikazi kwa siku 3 karudi juzi anasema pamoja na vita vya miaka 20 muda wote alipokuwepo Mogadishu umeme ulipatikana kwa uhakika na katika tembea yake kaona flyovers mbili zilizojengwa miaka ya 80's.,
 
Ni sawa na ni vizuri
wewe unataka nini! au unataka linganisha na tz!
 
[/COLOR]Ni sawa na ni vizuri wewe unataka nini! au unataka linganisha na tz!

Hadi mzee wa Upako kaona viongozi wa Tz vichwani mwao kuna viroboto! Hakukosea.
Hivi hamuoni kwakuwa bunge lipo mapumziko kuna umuhimu wa kumtuma Ngeleja Mogadishu aende akaone wamewezaje kuendelea kutoa umeme katika mazingira magumu naye kushindwa katika mazingira haya ya 'amani na utulivu' ?
Katika ziara hiyo aende na Malima,mkuu wa Tanesco na yule msema chochote wa Tanesco Badra Masoud ?
 
jamani,, ivi r u really serious ama mnatani????? Kama ni kweli naomba mada hii ihamishiwe jukwaa la siasa, maana it is a very important issue
 
jamani,, ivi r u really serious ama mnatani????? Kama ni kweli naomba mada hii ihamishiwe jukwaa la siasa, maana it is a very important issue
Hii bana ni ukweli mtupu nimeiweka hapa kwakuwa ni kichekesho Mogadishu upatikane umeme wa uhakika na hapa kwetu pamebadilishwa jina na kuitwa Tanzagiza.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom