mama na mwana

AMINATA 9

JF-Expert Member
Aug 6, 2011
2,128
640
[h=6]Mother: Son I'm sorry I slept with someone that
is not your dad 23 years ago. And that person is your real father.
Son: Mum, what rubbish! How am I to deal with this?! You should
be hanged.
Mother: I am sorry he is my first love and i could not marry him
... cause we are of different religion. He is on the phone at the moment
and wants to speak with his son for the first time ever.
Son: No i am speaking to no one. Mr Smith is the only father i know
and so will that be.
Mother: Please don't be so upset. Just talk to him.
Son: Ok, I will give him a piece of my mind!
Phone: Morning Son, I am Bill Gates. I am your real father.
Son: Dad! Dad!! Dad!!! Thank God!Ohhhhhhhhhhhh Thank God!!!!!!Lov u so much Dad!!!!! I
always knew there was something special about me...
Thank you soooooo much mum. You are the best mum in the
whole wide world!
[/h]
 
ndyoko

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,975
1,639
Jamani Aminata, huishi vituko, mwee! Nimeshiba sana usiku huu, taratibu nsije nkatapika mbele za wanangu wakadhani naumwa kumbe ni vicheko vya vituko vyako!
 
AMINATA 9

JF-Expert Member
Aug 6, 2011
2,128
640
Jamani Aminata, huishi vituko, mwee! Nimeshiba sana usiku huu, taratibu nsije nkatapika mbele za wanangu wakadhani naumwa kumbe ni vicheko vya vituko vyako!
pole sana ............next time nitajasibu kukupa kicheko cha taratiiibu sio cha kustukiza ka hiki ok..............ucku mwema na malaika wa bwana wakulinde ucku kucha
 
AMINATA 9

JF-Expert Member
Aug 6, 2011
2,128
640
hiyo avatar we acha tu..ina fans wengi..karibu aisee...

na mimi huo mgongo hoi lol
hahaaaaaaaaa thanx ila huyo kaka ktk avatar yako yuko juu kinoma sana na watu wengi wanamfia kinoma kwa kazi anazo zifanya hope na ww uko ka huyo kaka .............i mean matendo yake ktk movie mana in reality cmjui kivile
 
The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
44,219
91,809
hahaaaaaaaaa thanx ila huyo kaka ktk avatar yako yuko juu kinoma sana na watu wengi wanamfia kinoma kwa kazi anazo zifanya hope na ww uko ka huyo kaka .............i mean matendo yake ktk movie mana in reality cmjui kivile

ha haaa my my....you hope sio?lol
siku moja nitakupa nafasi uthibitishe lol
kama utakuwa free hivi..lol
 
sakapal

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
1,804
1,423
bwibwibwiiiiii uuuuwiiiiiiiiiiii lol! weye bana umenfanya nchekee tumboni maana nipo job huo mshtuko wa dogo alivompokea dingi yake baada ya kuckia jina lake mi hoiiii big up mamii
 
Manyanza

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
4,597
1,812
haahaa haaaa haaaaa haaaaaa uwiiiiiiiiiiiiiii, dogo aliposikia sauti ya Bill Gates akahisi ashaionja pepo...
 
AMINATA 9

JF-Expert Member
Aug 6, 2011
2,128
640
bwibwibwiiiiii uuuuwiiiiiiiiiiii lol! weye bana umenfanya nchekee tumboni maana nipo job huo mshtuko wa dogo alivompokea dingi yake baada ya kuckia jina lake mi hoiiii big up mamii
pole mnooooooooooo ndugu yangu kama chekesho hili limekukutia kwa job........next time nitahakikisha lakukutia home ile ucheke tu kwa energy zote
 
khayanda

JF-Expert Member
Nov 6, 2007
247
25
AMINATA hii kali maana jamaa amesamehe na kutukuza uzinzi wa mama yake kwa vile dingi yupko POAAA!!! Nitamwambia baba yake aliyemlea tuone kama ataenda Marekani au ni Bill Gates wa Tabata tu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Top Bottom