Wana JF Iringa mpoooo........

Manyanza

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
10,563
17,375
nitakuwa ndani ya Iringa mjini kuanzia Jumatano, ningependa sana kuonana na wana JF ambao mnaishi Iringa
Kama vp tuwasiliane.. nitumie PM ili tupeane mawasiliano...
 
tupo mkuu, kama vp tuwasiliane unakuja iringa sehem gani..?
 
nitakuwa ndani ya Iringa mjini kuanzia Jumatano, ningependa sana kuonana na wana JF ambao mnaishi Iringa
Kama vp tuwasiliane.. nitumie PM ili tupeane mawasiliano...

Ebwanee karibu sana, usisahau koti zito
 
Ebwanee karibu sana, usisahau koti zito

waongo utawajua tu. nani kasema sasa hivi Iringa kuna baridi?

mkuu karibu sana mimi nitakucheki. naomba tukutane SHINE PUB mida ya kuanzia saa Mbili
 
Mimi pia nitakuwa Iringa Jumamosi... Napatikana sana +255 PUB,SHINE PUB na kwenye 1 ya Banda la Umoja wa Viwavi vya CHAMA CHA MAGAMBA...kwenye KITIMOTO... twapaita HAMIA AIRTEL... kwa Brigita
 
pamoja sana mkuu kama kawa lazima tukutane na tukajenge heshima bar kidogo....
Hahaa haaaa
 
waongo utawajua tu. nani kasema sasa hivi Iringa kuna baridi?

mkuu karibu sana mimi nitakucheki. naomba tukutane SHINE PUB mida ya kuanzia saa Mbili

hamna noma mkuu pamoja. Nasikia sasa huko hakuna baridi kali maana kuna mtu wangu nimemuuliza kasema hali ya hewa ni kawaida
 
Back
Top Bottom