Majina mengine ni soooo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majina mengine ni soooo

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Bujibuji, May 30, 2011.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  May 30, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 32,251
  Likes Received: 15,045
  Trophy Points: 280
  Jamani, baba mwenye nyumba wa ninapoishi, jumamosi alijaaliwa kupata mtoto wa kiume. Mtoto kapewa jina Graduation.
  Nikauliza kwanini mtoto aitwe hivyo, kasema anataka mwanawe asome hadi awe Rais.
  Kimoyomoyo nkasema, tumtakie kila la kheri, asije kuwa rais wa chama cha wapigadebe Manzese
   
 2. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #2
  May 30, 2011
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Buji kwani we hujui ma graduate ndio wanaokuwa marais?
  Mbaya zaidi siku hizi chekechea wanagraduate
   
 3. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #3
  May 30, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,248
  Likes Received: 243
  Trophy Points: 160
  Jina kama Bujibuji... kwa roho safi kabisa sijawahi sikia na ingawa
  naliona bado sijalizoea.... naomba niambie maana yake nini...
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  May 30, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 32,251
  Likes Received: 15,045
  Trophy Points: 280
  hujakuliaaaa maporinbi wewe, bujibuji ni mzimu wa kizaramo.
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Oct 9, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 32,251
  Likes Received: 15,045
  Trophy Points: 280
  kweli hujawahi kulisikia?? Hata JF
   
 6. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #6
  Oct 10, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,049
  Likes Received: 728
  Trophy Points: 280
  Ngoja ustaadh buji akusikie
   
 7. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #7
  Oct 10, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,905
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Kuna jamaa toka Kaskazini mwa mchi yetu nilisoma naye anaitwa GODLISTEN J. HEAVENSEND...Kama tungetumia kigezo cha Baba Graduation basi huyu mate wangu angekuwa ASKOFU:)
   
 8. v

  valid statement JF-Expert Member

  #8
  Oct 10, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,732
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  jirani yangu mwanae anamwita MAIN ROAD...kisa mkewe alijifungulia njiani.
  Padri kagoma kumbatiza mtoto na ilo jina.nyumbani bado wanamwita mainroad!
   
 9. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #9
  Oct 10, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 28,098
  Likes Received: 3,866
  Trophy Points: 280
  bujibuji vipi umesharudi kutoka huko kwetu, kama umerudi nakukaribisha sana.
   
 10. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #10
  Oct 10, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 23,093
  Likes Received: 10,407
  Trophy Points: 280
  babako huuyo makondee nini!
   
Loading...