Mchunga ng'ombe mmoja baada ya kupata cha-malawi cha kutosha,alianza kukimbia huku ameinama.Alipoulizwa ni kwanini anakimbia huku ameinama,akajibu;Mawingu yameshuka usawa wa kichwa changu.