Msafara wa rais.......

Msafara wa rais.......

sakapal

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
1,804
Reaction score
1,425
Hivi kwa nini hawa viongozi wasitumie helikopta kwa jiji la Dar es salaam kuepusha usumbufu wa foleni mfano kutoka airport hadi ikulu watumie halikopta badala ya barabara ili wananchi wengine wasipate shida ya foleni. utakuta umewahi ile unafika kwenye taa tu unasimamishwa kwa masaa mawili kusubiri msafara inaudhi hasa ukiwa kwenye gari lako kama uko kwenye daladala unaweza kushuka na kuahirisha safari au wewe unaonaje kama mwana jamii forum?

nawasilisha hoja.
 
watatuletea usifadi watasema wamenunua hellcopter kwa $81,000,000,000/= na inatakiwa iendeshwe na pilot mmoja aliyefuzu kutoka Marekani kwa mwezi mshahara wake ni $8,000,000,000/=+ mafuta 800litre per da, bora waendelee kutumia hayo hayo magari.Nalog off
 
hawatatosha humo labda helikopta ziwe 15. Hebu fikiria mkuu akiwa anasafiri au anarejea wanaenda kumpokea kuanzia mawaziri mpaka masekretari we unategemea watakaa wapi kwenye helikopta?
 
watatuletea usifadi watasema wamenunua hellcopter kwa $81,000,000,000/= na inatakiwa iendeshwe na pilot mmoja aliyefuzu kutoka Marekani kwa mwezi mshahara wake ni $8,000,000,000/=+ mafuta 800litre per da, bora waendelee kutumia hayo hayo magari.Nalog off

Kweli kabisa BORA 2we sote ardhini maana wabongo wengine watapata ulaji bana.
 
Kumbuka hapo lazima iwepo air ambulance ambayo bai yake itakuwa sawa ns bajeti ya mwaka
 
Back
Top Bottom